Jamani wana jamvi,
Mimi na umri wa miaka 26 babu yangu alinipa dawa ambayo inauwezo wa kumshawishi msichana au mke wa mtu kukubali kila kitu unachomwambia. Dawa hii imenifanya nitembee na wanawake wengi sana nusura kuyaweka maisha yangu matatani. Nataka niachane na dawa hii ila tatizo nikikutana na msichana yoyote mazuri natamani niitumie ili nimpate.
Naomba msaada wana jamvi ili niachane nayo.