Dawa za Kulevya: Yusufu Manji afikishwa Mahakamani Kisutu, aachiwa kwa dhamana

Ilishawahi kutokea hii hapa nchini? Mtumiaji akafungwa?
Wengi tu wako magerezani wamekutwa na kete au misokoto ya bangi kwa matumizi yao binafsi hata wanaotumia mirungi wanakamatwa na wanafikishwa mahakamani hasa za mwanzo.
 
Mwenyekiti wa Yanga Yusuf Manji kupandishwa Mahakamani kesho kwa matumizi wa dawa za kulevya.

Kamishna Simon Sirro amethibitisha.

Kuna Watu humu humu mlinitukana na kunidhihaki mno tokea majuzi nilipokuwa nasema tena kwa uhakika kabisa kuwa Yusuph Mehboob Manji anatumia dawa za Kulevya. Je baada ya uthibitisho huo mna jingine tena? Kesho atapewa dhamana ambayo ' itamfilisi ' kila alichonacho au atanyimwa dhamana kwa aina ya Kosa lake na kulingana na Ripoti ya Police juu yake itakavyoelezea. Vyovyote itakavyokuwa akiwa anatoka tu UHAMIAJI nao watamkamata hapo hapo na atafinguliwa Kesi nyingine na atakaa tena ' rumande '. Dharau yake aliyoionyesha Alhamisi iliyopita kwa Mamlaka sasa ndiyo inammaliza. Akome!
 
Uthibitisho hupatikana mahakamani.....
 
Back
Top Bottom