BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
[emoji23][emoji23] kwa elfu 20 nachukua 4, na napona vizuri kabisa ...Huyo mzee ni mpiga dili me namjua sana hapo anatengeneza mazingira awaokote watu ajifanye anawaagizia kwa bei hiyo....
Anasahau bei pia zinaenda na ujazo. lol.
Hahahahaha chezeya bajeti wewe.[emoji23][emoji23] kwa elfu 20 nachukua 4, na napona vizuri kabisa ...
Nisaidie na Mimi ninufaike. Ikoje hii?Habat sauda a.k.a blackseed.... sijawahi kujutia kabisaaa.
Sasa hivi nakunywa kwa mazoea tu siwezi kukaa siku mbili bila kuinywa.
Yanasaidia nn hasa make kama unasema yamekusaidia kuna vitu havikuwa sawa kwenye mwili mpaka ulipoanza kutumia hayo mafuta.Ungeaema ulikuwa unajisikiaje before ili isaidie na wengine.
Inauzwa kwa bei ya elfu tano chupa hiyo, ipo ndogo yake bei ya elfu 4.... hapo ni kwa Dar mikoa mengine nasikia ghali.
Hayo ni mafuta unakunywa kijiko kimoja cha chai asubuhi baada ya chai sio kabla na usiku baada ya chakula sio kabla.
Aiseee hautajuta nakuapia, nina ushuhuda nayo sana mafuta haya ni mkombozi wa familia yetu.
Lakini pia kun unga wake, mimi ulinishinda mkali sana nikitumia napata kizungu zungu hadi kutapika japo wanasema kutapika au kuharisha ndio tiba yenyewe.
Acha kabisa, huko ughaibuni watumie tu ila sisi mwendo huu ni wa bajeti tu na vitu vinaenda kwa mpangilio , sasa hivi hata 100 unaidai kwa ghadhabu kali.Hahahahaha chezeya bajeti wewe.
Ukichukua hzo black seed ukachemsha na asali wanasema inasaidia.Ukifika wanapouza wanaweza kukupa Maelezo mazuri.Vp mkuu haiongez nguvu za kiume
Mbona kila kitu kimeelezwa huko juu kwenye comments,Nisaidie na Mimi ninufaike. Ikoje hii?
Dada yangu alikua amejaa maji kwenye kizazi baada ya kutumia dawa bila mafanikio suluhisho ikawa op,Yanasaidia nn hasa make kama unasema yamekusaidia kuna vitu havikuwa sawa kwenye mwili mpaka ulipoanza kutumia hayo mafuta.Ungeaema ulikuwa unajisikiaje before ili isaidie na wengine.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha kabisa, huko ughaibuni watumie tu ila sisi mwendo huu ni wa bajeti tu na vitu vinaenda kwa mpangilio , sasa hivi hata 100 unaidai kwa ghadhabu kali.
kwa staili hio hampati mtu
About garlic, hii kitu ni ya ajabu sana, i take it every morning before eating anything.black seed na garlic.
hata uzee inatibu isipokuwa kifo tuKila kitu kasoro uzee tu.
Ni amazing sana, tiba hapo hapo kiungo tena kwa bei nafuu kabisaaaa.About garlic, hii kitu ni ya ajabu sana, i take it every morning before eating anything.
Lol, wewe baby acha vituko,hata uzee inatibu isipokuwa kifo tu
ahahaaa si wameandika hivo? hivi pressure ya kushuka nayo inatibu?Lol, wewe baby acha vituko,
usifanye wazee wote tukaifakamia kwa fujo.
[emoji2][emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbavu zangu mie.... tena kama kwenye daladala unataka kushuka afu konda anajifanya hana 100 weeeh hizo ghadhabu zake si za nchi hii mwenyewe anaitafuta ilipo.
low blood pressure inatibu?Lol, wewe baby acha vituko,
usifanye wazee wote tukaifakamia kwa fujo.
Mmh! sina hakika ila garlic ndio najua kwa high and low pressure....ahahaaa si wameandika hivo? hivi pressure ya kushuka nayo inatibu?
Teh teh teh.... Makondakta kwa kujikausha tu na chenji za watu hawajambo sasa upande wewe na pesa pungufu weeee gari zima watajua.[emoji2][emoji2]
kuna mmoja bahat nzuri nlikua nashuka mwisho wa haisi, kabaki na chench yang ya 100 eti hana chenchi na nlikua namuona na mia mia kibao,nlikua namkata jicho akaamua aje anipe tu
halaf siku hio.nlikua nmevurugwa kwaio nlikua nasubiri tu aanzishe
nimvurugue