Dawa za kichina zimeniharibia nyeti zangu za kike!

Nadhani ukupata elimu jinsi ya kutunza uke wako. kulegea kwa uke inatokana na kulegea kwa misuli yake hivyo kuna mazoezi yakurudisha uke katika hali yake ya kawaida au zaidi iwe mnato.

Unahitaji kupatiwa elimu hiyo. Na ninawashauri wengine wasijaribu kufanya kama wewe. Wachina watawamaliza
 
akamwone Daktari wa magonjwa ya wanawake, angebaki kama alivyo tu, mbona wapo wanaume wenye EXTRA LARGE? hao wangemfaa, kajiharibu bure masikini.
 
tafuta mafuta ya k 1 kitu kitapita tu lazima wachina noma kweli au ulizidisha dozi
 
Ah mpe pole kwa kukosa ushauri mzuri tangu mwanzo!

Yafaa aende hospitali sasa manake hali sio hali!
 

Kwani ikiwa pana nawe si utampata mwenye nene?? Ulifanya haraka tu. Do not fight nature, when it fights against you, you are finished!!!

Kuna yule wa Mbezi Beach ambaye uume wake ulikuwa mdogo, alipopata dose ya kichina ukanenepa na unaendelea kunenepa na by a week ago ulishafikia kilo 9!!! Halafu, madhara ya dawa hizi ni kuwa no remedial!!!!

Marehemu Michael Jackson alipoongea na mzee Nelson Mandela alikiri kujutia kufanya platic surgery kwani alipoteza identity yake physically na hawezi kuirudisha tena na kuwa ilimgharimu sana si kipesa bali kiafya. It was true, it costed his life!!!! Sad!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…