Dawa za Anxiety

Ni vizuri ukalipia hiyo consultation fee na kupata hizo dawa...

Kheri nusu shari kuliko shari kamili...

Cc: mahondaw
 
Kua Makini Daktari Atakutafunia Mke na Atapachika.. Isijekua Daktari aliweka mimba siku hiyo akataka ukulengeshe.
 
Kwa sehemu fulani yaweza kuwa ni kweli lakini

Mambo mengine huwa ni mitihani tu ya Allah!

Kuna wanawake nawajua kwenye ubinti wao hawajahi kujamiana na wanaume lakini baada ya kuolewa wakapata mitihani ya uzazi.

Kuna Malaya wengi waloanza mapenzi tangu wakiwa shule ya msingi hadi chuo lakini wanazaa bila shida.

Kwa hiyo maswala ya uzazi kwa kiasi kikubwa mhusika ni Mungu mwenyewe!

Tusifanye haraka kuwahukumu watu isivyostahili.
 
Unge relax tu na mzigo ungepiga kama kawaida au hata ungefanya jambo lingine ulivyokutana na mkeo kama vile kuangalia movie baadae ungesimamisha tu

Je hiyo inatokea kwa mkeo tu au hata mwanamke yeyote kwa sasa
 
kusimamisha na simamisha ila nikianza penetration kuna kauoga flan hiv kanaanza nawaza iseji dushe likalala bas bas hapo hapo dushe linasinyaa
 
kusimamisha na simamisha ila nikianza penetration kuna kauoga flan hiv kanaanza nawaza iseji dushe likalala bas bas hapo hapo dushe linasinyaa
Samahani kidogo,kwa swali hili,je hiyo hali inatokea kwa mke wako tu au hata mtu mwingine?

Umewahi kutumia dawa za nguvu za kiume ukaona kama kuna mabadiliko au vipi

Ila hapa mkuu huna tatizo zaidi ya mindset tu uliyo jiwekea
 
Kama ni state ya mind tu just ku tune right frequency
How can you adjust that state of mind by mind itself (which is the trouble)
 
kusimamisha na simamisha ila nikianza penetration kuna kauoga flan hiv kanaanza nawaza iseji dushe likalala bas bas hapo hapo dushe linasinyaa

Saingine ni ukute kuna mwanamke mchepuko uko nae nje au uliwahi kuwa nae kwenye uhusiano ndiye anayewaharibia!

Hebu tafakali!

Mjibu huyo kaka maswali anayo kuuliza anamaana nzuri.
 
Psychiatrist ni issue ngumu zaidi nahisi kuliko hata kwenda mwezini.
 
Kama ni state ya mind tu just ku tune right frequency
How can you adjust that state of mind by mind itself (which is the trouble)

by avoiding or face things that makes your mind see double double...lol..people have come out of this...medication is important but so do other aspects of your life...to me medication is only short term...just to pass time..so that you pass from what ever is holding you back...to the new you.
 
Sema ili zoezi liwe na ufanisi inabidi awepo mtu wa kumuongoza!
Ni kweli kabisa , lakini pia kuna watu wamefanya meditation peke yao na wamefika level ya mbali sana . Hatua za mwanzo zina uwezo wa kuondoa hayo matatizo kama anxiety na insomnia
 
Mtu mwenye kupatikana na hilo tatizo anapaswa kufanya nini ili apone na kuwa huru kama awali?
 
so ninaweza ku overcome hili tatizo therapy ni ngumu kotokana na kazi labda dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…