Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 428
- 766
- Thread starter
-
- #21
Ni kweli mkuu ila ss nimeshatafuta sehemu ya cognitive behavioral therapy kila kona ya dar lakini wap,mm mwenyewe sipend kutumia hizi dawa.Wewe unahitaji tiba ya kisaikolojia tu Mkuu.
Sio kwa vOKle kasema docta na wewe unachukua tu Mkuu no no.
Ni sawa sawa na mtu ambaye anapenda kuongea sana apewe dawa za kuwa mpolee.
Mkuu hizo zinachelewesha absorption ya chemical flan kwenye ubongo inaitwa serotonin, hii serotonin ndo inahusika na mood ,ubongo ukikosa serotonin ya kutosha ndo matatizo kama hayo yanatokea ,sijui kiundan sana maan sio daktar lakini ukiitumia baada ya muda utahisi tofauti, confidence yako itapanda na hofu itaisha utakua unachukulia mambo kawaida ,wakat mwingi e ina effect flani mbaya inakuondolea aibu unaweza adi kufanya mambo ya kijinga bila kuogopa( hii effect sio kwa kila mtu lakini). Kwa kifupi mkuu inaondoa hofu zisizo za kawaida.
T
Ni kweli mkuu ila ss nimeshatafuta sehemu ya cognitive behavioral therapy kila kona ya dar lakini wap,mm mwenyewe sipend kutumia hizi dawa.
Mkuu hizo zinachelewesha absorption ya chemical flan kwenye ubongo inaitwa serotonin, hii serotonin ndo inahusika na mood ,ubongo ukikosa serotonin ya kutosha ndo matatizo kama hayo yanatokea ,sijui kiundan sana maan sio daktar lakini ukiitumia baada ya muda utahisi tofauti, confidence yako itapanda na hofu itaisha utakua unachukulia mambo kawaida ,wakat mwingi e ina effect flani mbaya inakuondolea aibu unaweza adi kufanya mambo ya kijinga bila kuogopa( hii effect sio kwa kila mtu lakini). Kwa kifupi mkuu inaondoa hofu zisizo za kawaida.
Mkuu mm nilizipata hospital, ukitaka hospitali ya uhakika kuzipata ni regency,ila utalazimika kulipa ela ya kumuona daktari, kama ikiwa hivi mueleze tu doctor matatizo yako anaweza akawa na namna bora zaidi ya kutatua tatz lako.ila kama unataka dawa tu mwambie umewahi kuzitumia zikakusaidia kwaiyo atakuandikia hizo hizo maana dawa zipo nyingi kuna escitalopram/ lexapro, citalopram, prozac, fluoxetine, zanax etc, na zina matokeo tofauti kulingana na mtu, mm escitalopram ilinikubali na sikuona side effects zzt zaidi ya kuchelewa bao .bei siwez jua sabab nilitumia bimana ulizipata kwa bei gani in Tanzanian Shiling? ili nikienda kutafuta niwe na hiyo hela kabisa.
Pole sana mkuu, una anxiety japo siwez specify kabisa ni ipi, mm pia nishapitia hii ,nilitibiwa ikapungua kwa kiasi kikubwa ila ss tatz limeamia kwenye hasira zisizo za kawaida na kupanic, kama uko dar es salaam nenda regency ukamuone psychiatrist anaitwa prof ndossi.
1. Fanya nazoezi utalala vizuri sana
2.------jiamini, acha kuikilia dunia itakuelewaje, maisha ni yaks, sasa kama unawazia sana watuwatakuchuliaje ndio unaleta hiyo
3.Acha kufikilia sana vitu vilivyopita ishi sasa achana na jana, kesho
4.mimi niko kama wewe hapo number 4 na sioni tatizo
5.nipo kama wewe hapo pia suoni shida, hata niliacha kazi ili nijiajiri mwenyewe, and i love it
6.hata mimi niko hivyo, tena mi hata sipokei ushauri
Sijui mm nilitumia bimaGharama za kumuona ni kiasi gani?
Hii dawa n ya kunywa maisha yote?Nenda Nakiete Pharamcy pale karibu na Mwenge kuna kituo cha dala dala kinaitwa ITV. Kuna jengo la ghorofa la rangi ya njano. Ni citalopram. Tafuta za miligram 10 ukizikosa wakupe za miligram 20 ila unywe nusu kidogonge kwa siku.
Ila pia nenda kapime kisukari kwanza... For more info nichek inbox...
Hili tatizo linatumaliza wengi.
Mimi naomba maelezo kidogo juu ya nini kinanisumbua kulingana na hizi symptoms hapa chini:-
1. Kukosa usingizi kabisa (napata labda masaa mawili kwa siku). Hii inaweza kwenda kwa hata miezi saba mpaka nane kwa mwaka.
2. Muoga/Aibu kuongea mbele ya watu. Hii sio muda wote. Kuna kipindi tu ghafla nakuwa hivyo hata kwa miezi kadhaa then narudi kuwa kawaida.
3. Panic (Selective au sijui niiteje) kuna mambo ambayo binadam kwa kawaida tunastahili kupanic na kuna ya kupotezea, sasa mimi napanic viti vya ajabu sana. Text SMS tu ya kawaida naweza panic na kupata hasira muda mrefu na nisisamehe kabisa. Lakini bunduki, msiba, ajali nachukulia poa kabisa.
4. Anti-Social in real life but very social in the internet and calls. Inapelekea kuoneaka naringa au najisikia.
5. Napenda kufanya kazi au jambo langu mwenyewe. Mpira ni shabiki sana lakini siwezi angalia na mtu.
6. Sipendi Ushauri mid way. Kama ni kununua au kuunda kitu changu, sitaki unishauri kabisa hata kama ni kuboresha. Lakini nikikamilisha niko tayari kupokea ushauri hata ikibidi kurudia upya.
DECLARATION:
1.Ni mgonjwa wa peptic Ulcers
2. Wakati fulani nilitumia marijuana ikasaidia sana kuzifunika hizo symptoms na nikawa kawaida sana. Kwa sasa nina miaka zaidi ya mitano situmii tena.
SawaMm nna anxiety inaniletea panic attack
Naweza kupanic vitu ambavyo mtu mwingine anaona mbona kawaida.
Sijawahigi kwenda hosp najicontrol mwenyewe tu japo kwa shida.
Basi watu wangu wa karibu wameshanijua nikipanic wananiambia Relax....
Naweza kupanic kisa nmemtumia mtu sms kajibu sawa..kwamba sikutegemea ajibu ivyo[emoji23]...hapo basi ntazima adi na simu yenyewe
Mambo ni mengi wakuu/ila Tunapambana tu
Mpaka pale mgongwa atakapopata nafuu ya kudumu. That can take forever!Hii dawa n ya kunywa maisha yote?
Hahahaha mkuu sio lazima, unapoona hali yako imerudi kawaida unasitisha , ila kusitisha kwenyewe ni kulingana na daktari atakavyoelekeza.sijui kuhusu long term side effects lakin nachofaham kwa experience yangu ukiitumia miezi kama mitatu mfululizo tatz linakata kabsa,Hii dawa n ya kunywa maisha yote?
DepressionMagonjwa ya akili..mengi ni state of the mind,lol…yote ni mawazo tu..ukifanikiwa kuya 'tune' utakua fine...madawa ni last resort madaktari wana prescribe kama kweli condition yako..ina impair significant Maisha yako....
out of topic; Citalopram ni dawa ya nini? usingizi ama depression???
Magonjwa ya akili..mengi ni state of the mind,lol…yote ni mawazo tu..ukifanikiwa kuya 'tune' utakua fine...madawa ni last resort madaktari wana prescribe kama kweli condition yako..ina impair significant Maisha yako....
out of topic; Citalopram ni dawa ya nini? usingizi ama depression???