Dawa yao

Unakutana na HG,kapita madrasa, kalaza kiarabu, ana change TV language, anaweka kiarabu. Na king'amuzi anakitupia kwenye kiarabu.
Siku unayishinda home anaomba ruhusa akasuke, unakuwa bored kiasi gani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mmhh......Hahaha.........sina la kusema
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ni moja ya ukatili unaua huku unacheka
 
Siku hizi wanajua kila kitu, sio kama wale wa zamani hata kuwasha tu tv hawawezi, …
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…