..Dawa yake nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

..Dawa yake nini?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mtu chake, Mar 22, 2012.

 1. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,099
  Likes Received: 1,276
  Trophy Points: 280
  Plz naomba dawa ya haya matatizo yangu...nina miaka zaidi ya 25+

  ila nina tatizo la kula KUCHA..za vidole.. na kunyonya VIDOLE..pia nina tatizo lingine la kuchezea NYWELE zangu..ila sina rasta....na kikubwa za zaidi natafuta/kung'ata ng'ata ULIMI

  muda mwingi huwa najisahau kabisa....hata kama niko washikaji mahali tunapiga kilaji hiyo hali hutokea..


  Dawa yake nini..ili niache?
   
 2. S

  Skype JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Jitahidi kuji-keep bize muda mwingi kwa mfano ukiamka asubuhi fanya mazoezi yoyote, kisha nenda kwenye kazi zako za kila siku, ukirud hom jion jipumzishe kidogo kisha nenda kashiriki michezo na watu wengine, ukirudi hom tena kula, jichanganye na majirani kwa stori then kalale. Fanya hivi mara kwa mara utaachana na tabia yoyote inayokukera. Haya ndo mawazo yangu, karibu tena.
   
 3. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,099
  Likes Received: 1,276
  Trophy Points: 280
  inamaana inatokana na kutokuwa bize?...ila mm nimchezaji mzuri sana wa mpira na Pool table..ttz nikisimama kdg ujue mkono utaenda mdomoni au kichwani...ni ugonjwa au?...
   
 4. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,740
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Swali la kwanza kabisa wewe ni mwanaume au mwanamke?
   
 5. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  We jinsia gani?
   
 6. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,099
  Likes Received: 1,276
  Trophy Points: 280
  nipe dawa...mambo ya jinsi yangu...achana nayo
   
 7. S

  Skype JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Tatizo lako linatokana na mazoea tu pamoja na akili kukutuma kufanya hivyo.

  Nyongeza:
  Pamoja na maelezo nilotoa hapo awali nakushauri jitahidi kuilazimisha akili kuacha hiyo tabia kwa maana kila kifanyikacho ni matokeo ya akili kuwaza hivyo.
  Tamati!
   
 8. B

  Benkinte New Member

  #8
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 10, 2009
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jaribu kupaka sumu kidoleni kila unaoamka asubuhi. Najua unapenda kuishi kuliko unavyopenda kunyonya kidole.

  Kwa utaratibu huo utaacha tu.
   
 9. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,099
  Likes Received: 1,276
  Trophy Points: 280
  kwahiyo hiyo ndio dawa?

  mh...hiyo huwa inajaribiwa kweli?
   
 10. S

  Skype JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  ndiyo mkuu au we unasemaje?
   
 11. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Lol, hii hapana tutamkosa jamani...
   
 12. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #12
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mwambie cha kufanya, jinsia inahuuu?
   
 13. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #13
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,740
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Nataka nijue jinsia ili nijue jinsi ya kukusaidia maana naweza kukupa ushauri ukamfaa mwanamke badala ya mwanaume.
   
 14. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #14
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,099
  Likes Received: 1,276
  Trophy Points: 280
  nitajaribu

  sema wewe SL
   
 15. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #15
  Mar 22, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  Dawa ni moja tu...........
  Paka pilipili
   
 16. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #16
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,099
  Likes Received: 1,276
  Trophy Points: 280
  • kama ni mlaji wa pili pili?..
  hiyo dawa matumizi yake ni lazima uwe Me au Ke?
   
 17. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #17
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,740
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Dawa inatofautiana kati ya jinsia moja na nyingine.
   
 18. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #18
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,099
  Likes Received: 1,276
  Trophy Points: 280
  plz wewe nipe dawa au njia ya mm kuondokana na hili ttz..mambo mengine..potezea
   
 19. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #19
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,613
  Likes Received: 2,004
  Trophy Points: 280
  Mkuu, there is so many ways this can be explained.

  From Freud's point of view, it can be a sympton of Oral Fixation...Freud believed that nail biting, like everything else in life, is related to sex.

  He believed it was just another characteristic of people with an oral fixation, or the constant desire to put things in our mouths as a form of stimulation.

  According to Freud, all babies go through this stage. If they aren’t treated properly, they never move past this dependency and develop oral fixations.

  Overeating, smoking, chewing on pens, and even seemingly unrelated behaviors like alcoholism and sarcasm are also listed as oral fixation indicators.


  However, on the other side, Stress and medical issues are listed as potential causes, as are low self-esteem, emotional disorders, and family history.

  Kuna wanaoamini kwamba genetics play a role in nail biting, as it tends to run in families.

  Wengine wana argue kwamba nail biting ni a learned behavior, which would also explain the familial link.

  Kama mtoto akimwona mzazi anakula kucha zake wakati wa stress ama inactivity, she or he might try it out and derive pleasure from the action, thus sparking a habit.

  Kabla ya kupata ushauri, nadhani ni vyema uka disclose umri wako. hilo litasaidia zaidi kujuwa ni kwa namna gani utapata msaada kama unauhitaji.
   
 20. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #20
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,099
  Likes Received: 1,276
  Trophy Points: 280
  umri nishataja huko juu 25+..nauhitaji huo msaada..plz
   
Loading...