MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,604
Na wale wanopiga mayowe ovyo je kujidai wamepanda Kibo?hilo robort lilitakiwa kuwekwa chumbani kwa wana ndoa wanaume wangekuwa wanalabuliwa kila siku kwa kweli me nitalinunua
Na wale wanopiga mayowe ovyo je kujidai wamepanda Kibo?hilo robort lilitakiwa kuwekwa chumbani kwa wana ndoa wanaume wangekuwa wanalabuliwa kila siku kwa kweli me nitalinunua
Na wale wanopiga mayowe ovyo je kujidai wamepanda Kibo?
Dah!cku yangu imeisha kwa furaha....paaaaaaa
ah! Bayo nimechekaa,yaani you just made my day...paaaah!
Umenena mamaa, naamini mahakimu (majaji) na waendesha mashtaka watalabwa makofi mpaka basi. Kipindi cha kampeni sipati picha wagombea wazee kwa vijana watakapolabwa makofi ya nguvu.Hiyo ipelekwe mahakamani na kwenye viwanja vya mikutano ya kampen wakati wa uchaguzi!
ha,ha,ha,ha,haaa... Nimeipenda hii yan mpaka nimetoka kwny usingizi nikiwa kwny folen ha,ha,ha,ha,haaa
this is best joke ever. Loool
Safi sana!! ehe, sasa ikawaje? baada ya waongo kujulikana? ehe!