wewe kwa nini ulimtumia mtu umepata tu namba yake hata hamjuani? kuna watu wapo kazini.. shauri yako...Jana nimepata nanba ya simu ya demu moja hiv nikiwa maeneo flani.
Leo asubuhi kanitumia msg nimsaidie vocha. Nikamtumia 2000. Kanitumia msg ya kushukuru kwa kuniomba nimtumie nauli anaenda town hana kitu. Nimemtumia buku tano kanitumia msg ya kushukuru kwa kuniomba nimtumie hela ya kula mchana maana hajala kitu tangu jana.
Nimeamua nisitume maana naona kila ninapomtumia anaomba zaidi.
Nisaidieni dawa ya kudili na watu kama hawa maana nimesikia wengine wakileweshwa na kubakwa kisha kuuawa kwa tabia zao hizi kuchuna wanaume.
una umri gani rafiki?Jana nimepata nanba ya simu ya demu moja hiv nikiwa maeneo flani.
Leo asubuhi kanitumia msg nimsaidie vocha. Nikamtumia 2000. Kanitumia msg ya kushukuru kwa kuniomba nimtumie nauli anaenda town hana kitu. Nimemtumia buku tano kanitumia msg ya kushukuru kwa kuniomba nimtumie hela ya kula mchana maana hajala kitu tangu jana.
Nimeamua nisitume maana naona kila ninapomtumia anaomba zaidi.
Nisaidieni dawa ya kudili na watu kama hawa maana nimesikia wengine wakileweshwa na kubakwa kisha kuuawa kwa tabia zao hizi kuchuna wanaume.
anaonekana ndo kaja...mwacheni ndo amekaribishwa!!!una umri gani rafiki?
Jana nimepata nanba ya simu ya demu moja hiv nikiwa maeneo flani.
Leo asubuhi kanitumia msg nimsaidie vocha. Nikamtumia 2000. Kanitumia msg ya kushukuru kwa kuniomba nimtumie nauli anaenda town hana kitu. Nimemtumia buku tano kanitumia msg ya kushukuru kwa kuniomba nimtumie hela ya kula mchana maana hajala kitu tangu jana.
Nimeamua nisitume maana naona kila ninapomtumia anaomba zaidi.
Nisaidieni dawa ya kudili na watu kama hawa maana nimesikia wengine wakileweshwa na kubakwa kisha kuuawa kwa tabia zao hizi kuchuna wanaume.
Nadhani uko kwenye EVOLUTION ya kuwa kafataki kama si lifataki!! unatuma tu hata hujui kama ni jini???????Jana nimepata nanba ya simu ya demu moja hiv nikiwa maeneo flani.
Leo asubuhi kanitumia msg nimsaidie vocha. Nikamtumia 2000. Kanitumia msg ya kushukuru kwa kuniomba nimtumie nauli anaenda town hana kitu. Nimemtumia buku tano kanitumia msg ya kushukuru kwa kuniomba nimtumie hela ya kula mchana maana hajala kitu tangu jana.
Nimeamua nisitume maana naona kila ninapomtumia anaomba zaidi.
Nisaidieni dawa ya kudili na watu kama hawa maana nimesikia wengine wakileweshwa na kubakwa kisha kuuawa kwa tabia zao hizi kuchuna wanaume.
Yaani elfu saba tu unapaniiiiiiiiik, we hujaona watu wanahonga mabenzi nini. Hebu kuwa bana na wewe, usipomuhudumia mrembo wako unatakaje sasa? Unataka wewe umpe za vocha nauli apewe na mwingine? kula alishwe na mwingine wewe umle tu?
Yani uhonge benz kwa ajili ya K? huu ndio ulimbukeni wa grade A. Yaani dunia nzima kuna K zaidi ya bilioni 3 halafu wewe uhonge benz kwa ajili ya K moja tu? #uzuzuatbestYaani elfu saba tu unapaniiiiiiiiik, we hujaona watu wanahonga mabenzi nini. Hebu kuwa bana na wewe, usipomuhudumia mrembo wako unatakaje sasa? Unataka wewe umpe za vocha nauli apewe na mwingine? kula alishwe na mwingine wewe umle tu?
Anakuchuna..... mchezo? m-delete harakaJana nimepata nanba ya simu ya demu moja hiv nikiwa maeneo flani.
Leo asubuhi kanitumia msg nimsaidie vocha. Nikamtumia 2000. Kanitumia msg ya kushukuru kwa kuniomba nimtumie nauli anaenda town hana kitu. Nimemtumia buku tano kanitumia msg ya kushukuru kwa kuniomba nimtumie hela ya kula mchana maana hajala kitu tangu jana.
Nimeamua nisitume maana naona kila ninapomtumia anaomba zaidi.
Nisaidieni dawa ya kudili na watu kama hawa maana nimesikia wengine wakileweshwa na kubakwa kisha kuuawa kwa tabia zao hizi kuchuna wanaume.
Jana nimepata nanba ya simu ya demu moja hiv nikiwa maeneo flani.
Leo asubuhi kanitumia msg nimsaidie vocha. Nikamtumia 2000. Kanitumia msg ya kushukuru kwa kuniomba nimtumie nauli anaenda town hana kitu. Nimemtumia buku tano kanitumia msg ya kushukuru kwa kuniomba nimtumie hela ya kula mchana maana hajala kitu tangu jana.
Nimeamua nisitume maana naona kila ninapomtumia anaomba zaidi.
Nisaidieni dawa ya kudili na watu kama hawa maana nimesikia wengine wakileweshwa na kubakwa kisha kuuawa kwa tabia zao hizi kuchuna wanaume.
jana nimepata nanba ya simu ya demu moja hiv nikiwa maeneo flani.