Dawa ya vidonda vya tumbo

PACHOTO

JF-Expert Member
Dec 30, 2011
1,321
973
Nina dawa ya mitishamba kwa ajili ya kutibu vidonda vya tumbo hii dawa shuhuda ni mm mwenyewe na mdau mmoja humu ndani kwa anayehitaji PM ili tufanye mawasiliano namna ya kuipata hapo ulipo ila kwa watu walioko dar, lindi na mtwara ni rahisi kuipata, wale wote walioko nje ya mikoa hyo utasafirishiwa kwa gharama zako bei ni nafuu sana
 
Wew ulikuwa unaumwa hivyo vidonda na inatibu kwa mda gani na weka bei kabisa coz hilo tatizo nnalo
 
Back
Top Bottom