dawa ya utabiri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

dawa ya utabiri

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mwana va Mutwa, Sep 7, 2009.

 1. Mwana va Mutwa

  Mwana va Mutwa JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 429
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Jamaa mmoja alienda kwa mganga ili afanyiwe dawa na yeye awe mtabiri. Mganga alimvua nguo zote jamaa huyo na kumuacha kama alivyozaliwa kisha akaanza kumpaka mafuta mwilini na kumwambia jamaa huyo kuwa hii ninayo kupaka ndio dawa ya utabiri. Mganga aliendelea kumpaka mafuta alipofika maeneo ya makalio ya jamaa huyo jamaa alishtuka na kusema; “Ah! mganga vipi mbona unanishika makalio yangu unataka kunibaka nini?
  Ndipo mganga huyo aliposikika akisema; “Inaelekea dawa imeshaanza kufanya kazi umetabiri vizuri ni kweli nilikuwa nataka kukubaka”
  ndipo jamaa alibaki ameduwaa...
   
Loading...