muzi
JF-Expert Member
- Jun 17, 2016
- 1,039
- 1,453
Habari za muda wapendwa!
Nasikia kuna apps ambazo zinaweza kutumika ku-detect mahali ambapo kuna tochi za wale kunguru weupe wamejificha. Wakati unaendesha gari lako kupitia simu yako, inakupa alert umbali ambapo hao jamaa wapo. Hebu tusaidiane kwa wenye uzoefu na hili