Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,093
- 34,910
Dawa ya Sukari (Diabetes)
Ingredients:
1 Unga wa ngano 100 gm
2 Gundi (umefanan na ubani wa kiarabu lakini hauna harufu) 100 gm
3 - Shaair 100 gm
4 - Habba Soda 100 gm
.
Samahani mkuu unaweza ukatoa reference? Je huyo mgunduzi alifanya utafiti kwa watu wangapi na kwa muda ghani? na je ni asilimia ngapi ya watu walioonyesha kusaidika(waliopona) kwa kutumia dawa hiyo?Dawa ya Sukari (Diabetes)
Sheikh Saleh Mohammed Tuwaijiri (May Protection of Allah be on him), Qadhi Mkuu wa korti ya Tabuk kafanya uchunguzi mkubwa kwa kuvumilivu na kwa subira kubwa mpaka kupata hii dawa ya magonjwa ya sukari.
Siku hizi watu wengi khususan watu wazima, wanaume na wanawake wanataabika sana kwajili ya ugonjwa wa sukari.
Ingredients:
1 Unga wa ngano 100 gm
2 Gundi (umefanan na ubani wa kiarabu lakini hauna harufu) 100 gm
3 - Shaair 100 gm
4 - Habba Soda 100 gm
Namna ya kutengeneza
Chemsha hivyo vitu juu katika vikombe 5 vya maji kwa muda wa dakika 10. Zima moto na wacha ipowe. Ikisha kupowa chuja na utie katika chupa.
Utumizi
Kunywa kikombe kidogo kila siku asubuhi kabla ya kula chochote kwa muda wa siku 7.Wiki ya pili kunywa siku moja na uwache siku moja. Insha-Allah baad hizi wiki mbili utapona na utaweza kula chakula kama dasturi.Sheikh anaomba muwapelekee wenzune wapate na wao kunufaika.Insha Allah Allah atajaalia iwe dawa kwa kila mwenye haya maradhi. Aameen.Kwa hisani zenu musiwasahau kwenye dua zenu Sheikh, alieye tarjum kwa Kiswahili na kila anaye ipeleka mbele.
Unachotaka kupata hii ( reference) ya nini? shida yako upone au unataka upate na ushahidi ni akina nani ndio waliotumia hiyo dawa Mkuu?kitu muhimu ni utumie dawa upone na dawa ukitaka kupata uende kwenye Maduka ya wanayouza Dawa za kiarabu nenda kwenye mitaa ya pemba au nenda kwa wauza Dawa za kienyeji watakupa hizo Dawa mimi mwenyewe ndie Mtaalamu wa hizo Dawa kama jina lnagu linavyojieleza hapo juu nina uzoefu wa hizi dawa sas yapata miaka30 iliyopita ukiwa na hayo aMaradhi jaribu kutumia hiyo dawa itakusaidia ukiweza tumia hukuweza usitumieSamahani mkuu unaweza ukatoa reference? Je huyo mgunduzi alifanya utafiti kwa watu wangapi na kwa muda ghani? na je ni asilimia ngapi ya watu walioonyesha kusaidika(waliopona) kwa kutumia dawa hiyo?
Mwisho huyo mgunduzi ni medical proffesional au ni mganga wa kienyeji?
Thanks!
Nashukushukuru sana mk sasa naomba unieleweshe vizuri vifaa unaposema
gundi ni nini?
Shaair,
Habba Soda!
Mimi ni mgeni sana na vitu hivi na je vinapatikana kiurahisi? ntashukuru hataukinielekeza vinakopatikana!
Samahani mkuu unaweza ukatoa reference? Je huyo mgunduzi alifanya utafiti kwa watu wangapi na kwa muda ghani? na je ni asilimia ngapi ya watu walioonyesha kusaidika(waliopona) kwa kutumia dawa hiyo?
Mwisho huyo mgunduzi ni medical proffesional au ni mganga wa kienyeji?
Thanks!