Dawa ya sheikh ponda hii hapa.

Dawa ya sheikh ponda hii hapa.

Status
Not open for further replies.

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,302
Baada ya kufanya uchunguzi wangu wa kina, nimefanikiwa kujiridhisha pasi na shaka yoyote kwamba kinacho mfanya she. Ponda kuwa mbishi namna hiyo ni " ATTENTION". Huyu jamaa anapenda sana kuwa anaandikwa andikwa kwenye vyombo vya habari ndo maana haishi vituko. Anacho kitaka hasa ni publicity, hakuna kingine zaidi ya hicho.

DAWA YAKE ; JUST IGNORE HIM, DO NOT REPORT ANYTHING ABOUT HIS SO CALLED MOVEMENT, NA MWISHO WA SIKU ATACHOKA TU MWENYEWE..

Akiwa anafanya harakati zake halafu zikawa haziandikwi kwenye vyombo vya habari atagundua kuwa watanzania wamempuuzia., so his so called movements will die a natural death na watanzania tutaendelea kuishi kwa amani, utulivu na upendo kama ilivyo jadi yetu.

Hahahahah nadhani humjui sheikh Ponda, hata siku moja hana uhusiano na waandishi wa habari wenu! Yeye anatumikia maslahi ya Waislamu tu!
 
Dawa ya Ponda ni kama anavyofanyiwa hivi sasa. Kumkamata na kufunguliwa mashitaka huku serikali ikimtafutia pasi ya kwenda kumbwaga huko kwao Darfur kwa wanaharakati haramu na magaidi. Wanaomsikiliza Ponda waangalie tu, utakuta wengi wao ni wapuuzi na hawana elimu huku wakililia waajiriwe serikalini. Yaani mtu huna elimu na pengine hata kuunganisha sentesi hujuwi unataka ajira, ukiulizwa una kigezo gani....oh najuwa kusoma Quran, seriously?
 
Ushawahi kusikia hata cku moja sheikh ponda kaitisha press comference pale habari maelezo?! Ni watu wa media ndo hutafuta njia ya kuuza magazeti na matangazo yao ya runinga ndo hapo wanapotafuta public figure PONDA! Anywa hebu mpeni nafasi nyie wahafidhina mumsikilize muone km kweli anapenda vurugu au nyinyi ndo mnatumia mamilioni ya wabongo kumnyamazisha wakati ni jambo lakumckiza nakujua mchele ni upi na chuya ni zipi. Acheni kufanya mambo kwa ATTITUDE!
 
Dawa ya Ponda ni kama anavyofanyiwa hivi sasa. Kumkamata na kufunguliwa mashitaka huku serikali ikimtafutia pasi ya kwenda kumbwaga huko kwao Darfur kwa wanaharakati haramu na magaidi. Wanaomsikiliza Ponda waangalie tu, utakuta wengi wao ni wapuuzi na hawana elimu huku wakililia waajiriwe serikalini. Yaani mtu huna elimu na pengine hata kuunganisha sentesi hujuwi unataka ajira, ukiulizwa una kigezo gani....oh najuwa kusoma Quran, seriously?

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha mkuukwa kweli hapa umenichkesha sana. hivi kumbe ponda naye anataka ajira ya serikali? Alisha fanya aplication yoyote?
 
Dawa ya Ponda ni kama anavyofanyiwa hivi sasa. Kumkamata na kufunguliwa mashitaka huku serikali ikimtafutia pasi ya kwenda kumbwaga huko kwao Darfur kwa wanaharakati haramu na magaidi. Wanaomsikiliza Ponda waangalie tu, utakuta wengi wao ni wapuuzi na hawana elimu huku wakililia waajiriwe serikalini. Yaani mtu huna elimu na pengine hata kuunganisha sentesi hujuwi unataka ajira, ukiulizwa una kigezo gani....oh najuwa kusoma Quran, seriously?
Kwa hiyo wenye elimu,ni hao waliotufikisha hapa kwenye umaskini wa kutupwa?
 
Hahahaa.. Mkuu mbona na wewe umepost kuhusu yeye? Watu wanazifuata wenyewe habari zake ndo maana na hii post yako tumeifuata!!!
 
Watu wanazifuata habari zake, sio kwa sababu anaongea vitu vya maana sana, ila kwa sababu anahamasisha mambo yanayo weza kuvuruga amani ya Tanzania, watanzania wanao ogopa sana machafuko, kwa bahati mbaya sana watz walio wengi sasa wanamuhusisha huyu mtu na machafuko, there4 kwa vyovyote vile watu lazima watake kusikia kuhusu mihadhara yake, na kwa sababu ameshalijua hilo basi kila siku stori zake ndio hizo hizo ila ni mwepesi sana
 
KAMA HARAKATI NDIO HIZO ZA UCHOCHEZI BASI LET HIM GO BANA. LKN PIA HAJAWAHI KUPANDA CHUPA!(helkopta) LKN SASA KAPANDA SO ANATAKIWA KUFURAHIA!!tehteh!tehteh!! HATUJAMTUMA SS.
 
Watu wanazifuata habari zake, sio kwa sababu anaongea vitu vya maana sana, ila kwa sababu anahamasisha mambo yanayo weza kuvuruga amani ya Tanzania, watanzania wanao ogopa sana machafuko, kwa bahati mbaya sana watz walio wengi sasa wanamuhusisha huyu mtu na machafuko, there4 kwa vyovyote vile watu lazima watake kusikia kuhusu mihadhara yake, na kwa sababu ameshalijua hilo basi kila siku stori zake ndio hizo hizo ila ni mwepesi sana

Mkuu LIKUD Nasikia huyu jamaa hua anatoa facts kwenye mihadhara yake ndo maana waelewa wengi wanamfuata.. Kwa bahati mbaya sijawahi hudhuria Mhadhara wake hata mmoja.. Akitoka Lupango Nitajitahidi Kumsikiliza nione hizo facts zake coz nina imani wakimuacha huru tu!! Aluta continue Kuzunguka Mikoani kama alivyopanga hapo awali
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom