maganjwa JF-Expert Member Joined Sep 11, 2012 Posts 2,810 Reaction score 2,357 May 9, 2017 #1 Yaani kuna kama viupele vinanisumbua wiki ya pili sasa kuna dawa nimepewa hospitali moja ya private hapa mjini Dodoma haijasaidia sijui nifanye nini inaninyima raha sana. vinawasha ila si sana nimepina damu docta kasema iko fresh.
Yaani kuna kama viupele vinanisumbua wiki ya pili sasa kuna dawa nimepewa hospitali moja ya private hapa mjini Dodoma haijasaidia sijui nifanye nini inaninyima raha sana. vinawasha ila si sana nimepina damu docta kasema iko fresh.
maganjwa JF-Expert Member Joined Sep 11, 2012 Posts 2,810 Reaction score 2,357 May 9, 2017 Thread starter #2 vinawasha ila si sana vinatengeneza kama vishilingi
Pritty wa joseph JF-Expert Member Joined Jul 17, 2014 Posts 2,379 Reaction score 2,051 Jun 15, 2017 #3 Hii