Dawa ya Oktoba 29/2025 ndiyo pekee itakayowaingia vizuri ccm kwenye chaguzi zijazo

Dawa ya Oktoba 29/2025 ndiyo pekee itakayowaingia vizuri ccm kwenye chaguzi zijazo

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
7,315
Reaction score
18,010
Lugha pekee watakayoielewa ccm ni ile ya Octoba 29.

Lugha iliyozungumzwa na watanzania siku ya uchaguzi mkuu octoba 29/2025 ndiyo lugha pekee wanayoielewa CCM hasa CCM mtandao.

1. Kwanza kususia huo uchaguzi kuliwatia hofu sana ccm ndiyo maana walitumia kila njia ionekane kuna foleni za wapiga kura.

2. ⁠Kuchoma moto mali za wana ccm mtandao na machawa wao hii ni lugha ambayo ccm wameielewa na hawaombei itokee tena mbele ya safari. Wananchi kuchoma moto mali za ccm na wana ccm imewapa ujumbe CCM kuwa mzaha mzaha hutumbua usaha na ipo siku wataamka na kujikuta wanamiliki majivu tu ndani ya nchi hii.

3. ⁠Uchomaji huu wa mali za ccm umepelekea kuwatia hofu hata wale kimbelembele wa kukejeli wananchi kama Kigwangala, Makonda, Musukuma, Chalamila etc na sasa wameelewa umuhimu wa kukaa upande wa wananchi wanapoonewa au kukaa kimya kabisa.

4. ⁠Uchomaji huu umemfundisha mtoto wa Rais Abdul kuwa kiburi chake si lolote si chochote mbele ya hasira za watanzania ndiyo maana amekaa kimya na uendeshaji wake wa fujo wa magari ya kifahari umekoma.

5. ⁠Sasa hamna mwanaccm anayetamani uchomaji huu wa octoba 29 ujirudie hivyo wana ccm wengi hawatakubali ufanyike uchaguzi mwingine kwa staili ya kuengua wapinzani kama ule wa octoba 29.

6. ⁠Hata kama ccm mtandao watataka kuandaa uchaguzi mwingine wenye sura kama ule wa october 29, kuna uwezekano mkubwa wanachama na viongozi wengi wa ccm kujivua na kutangaza kuondoka ccm kwa hofu ya kuchomewa mali zao.

7. ⁠Uchomaji huu ndiyo utakaotuletea katiba mpya na chaguzi huru zenye kueshimiana, hivyo maandalizi ya kuchoma tena mali ccm na wana ccm yaendelee tena safari nyingine kwa ufanisi na ukubwa zaidi.

8. ⁠CCM wakikaidi tena kuandaa uchaguzi wa huru na haki, nchi nzima iamke na mali zao zichomwe kuanzia ngazi ya kata , kijiji, wilaya , mkoa hadi taifa. Yani hakikisha unajua mali za wanaccm zilipo na siku hiyo uzichome maana ndiyo lugha pekee wanayoweza kuisikia na kuielewa ccm.

9. ⁠Tofauti na lugha ya kuchoma hamna lugha nyingine wanayoweza kuielewa ccm, mtaimba na kulia na hamna mabadiliko yoyote watakayofanya.
 
Mnajivunia uchomaji mali?
Lakini hamjivunii kushonwa misumari?

1. Mwendokasi dsm ni mali ya ccm yupi?

2. Kule mwanza igoma, maduka ya simu yaliyokuwa barabarani yote yalipitiwa, zile ni simu za ccm?

3. Mipango ya kutaka kuchoma sgr nayo ni mali ya ccm?

4. Vituo vya kuzalishia umeme navyo ni mali ya ccm?

5. Barabara mlizokuwa mnachoma nazo ni mali ya ccm na zinatumiwa na wana ccm?

Mtaendelea kula misumari hadi akili ziwakae vizuri, naona hamjakaa sawa vichwani.
 
Ukiona kitu chochote kinachomwa ujue wanufaika hapo ni ccm na familia zao.
Hivyo ulivyotaja Sgr, vituo vya umeme ndiyo maana havikuchomwa
 
Ukiona kitu chochote kinachomwa ujue wanufaika hapo ni ccm na familia zao.
Hivyo ulivyotaja Sgr, vituo vya umeme ndiyo maana havikuchomwa
Kwa akili hyo, mtakuwa mnapewa furaha yenu na mtafurahishwa pindi mtakapo hitaji hyo furaha!
 
Mnajivunia uchomaji mali?
Lakini hamjivunii kushonwa misumari?

1. Mwendokasi dsm ni mali ya ccm yupi?

2. Kule mwanza igoma, maduka ya simu yaliyokuwa barabarani yote yalipitiwa, zile ni simu za ccm?

3. Mipango ya kutaka kuchoma sgr nayo ni mali ya ccm?

4. Vituo vya kuzalishia umeme navyo ni mali ya ccm?

5. Barabara mlizokuwa mnachoma nazo ni mali ya ccm na zinatumiwa na wana ccm?

Mtaendelea kula misumari hadi akili ziwakae vizuri, naona hamjakaa sawa vichwani.
Walioshonwa misumari walikuwa nyumbani kwao na mitaani kwao.Waandamanaji wapo na polisi hawawezi show za wanaume.
 
5. Barabara mlizokuwa mnachoma nazo ni mali ya ccm na zinatumiwa na wana cali au shule cm?
Masoko,hospit
Mtaendelea kula misumari hadi akili ziwakae vizuri, naona hamjakaa sawa vichwani.
Mbona hawajachoma
 
Walioshonwa misumari walikuwa nyumbani kwao na mitaani kwao.Waandamanaji wapo na polisi hawawezi show za wanaume.
Sure, waandamanaji walikua aware na nini kilikua kinaendelea na walichukua hatua za kujilinda though baadhi walikutana na madhira ya risasi na wengine kufa
 
Mnajivunia uchomaji mali?
Lakini hamjivunii kushonwa misumari?

1. Mwendokasi dsm ni mali ya ccm yupi?

2. Kule mwanza igoma, maduka ya simu yaliyokuwa barabarani yote yalipitiwa, zile ni simu za ccm?

3. Mipango ya kutaka kuchoma sgr nayo ni mali ya ccm?

4. Vituo vya kuzalishia umeme navyo ni mali ya ccm?

5. Barabara mlizokuwa mnachoma nazo ni mali ya ccm na zinatumiwa na wana ccm?

Mtaendelea kula misumari hadi akili ziwakae vizuri, naona hamjakaa sawa vichwani.
Hajui kuna watu wamezika nguo na viatu vya watoto wao baada ya kupotea, anaandika hivyo kwa sababu tarehe 29 October alikuwa kashika remote kakaa sebuleni anasikiliza mabomu ya machozi kupitia dirisha la nyumba yake hawezi kujua adha na mateso waliyoyapata raia.

Hajui huo uchomaji moto unakwenda na gharama kubwa sana ya vifo vya vijana wadogo ambao wanaondoka duniani wakiwa hawajafika hata miaka 25.
 
Back
Top Bottom