Wanajamii tukubali au tukatae ukweli unabaki palepale mungu alivyotuumba hakutuacha binadamu tuishi kama mifugo ambayo haina wa kuichunga.
Tatizo tumemwacha mungu tumeamua kuishi maisha machafu ya dhambi ndiyo maana vilio kila siku haviishi mara huyu kaachwa na mume wake na huyu na mchumba wake yote hayo unasababisha wewe mwenyewe umemkataa mungu awe kiongozi wa maisha yako alafu unapiga kelele kuhitaji msaada wa mungu wakati umemkataa kwa kuchagua maisha yako ya dhambi.
Mpokee yesu atayabadilisha maisha yako na atakuondolea vilio acha ubishi utaendelea kuteseka mwezako nimeamua kuchukua hatua.Yesu anakupenda na anakusubiri uchukue maamuzi katika shida yako ndipo aweze kuja kukusaidia.yohana3:16:A S angel: