Dr criminal
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 2,284
- 4,338
Sahihi mda mwingine kavurugwa na mpenzi wake ambaye sio wewe[emoji23][emoji1787]Ukiona ivyo ujue mko wengi kwake. Atakae guswa ndio muhusika.
Tunachokijua:
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi mda mwingine kavurugwa na mpenzi wake ambaye sio wewe[emoji23][emoji1787]Ukiona ivyo ujue mko wengi kwake. Atakae guswa ndio muhusika.
Tunachokijua:
Na mie huo mtego nashukuru nishauwezaThe hardest part of loving them is when they can't love them selves
Mtu anataka Kila mda umfikirie yeye tu[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi hilo nshaliona ndo maana huwa natumia mfumo wa kupaki basi mda wote nkisense kitu.Sahihi mda mwingine kavurugwa na mpenzi wake ambaye sio wewe[emoji23][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naishukuru sana jamiiforum imenijenga nimekua mzuri sana wa kutegua mitego kama hii.She's trying to manipulate your mind
Anataka attention yako
ili kukutengenezea addictiction kwake
In the longrun ukishakolea vzur penzini anauhakika ataweza kukucontrol vizur akupelekeshe anavotaka.
Na ana uhakika hutachomoka maana tayr na Wewe ushaizoea Hali hiyo na itakua ishaingia kwny damu yako.
(Always thinking about her)
Hapo nae ndo ataanza kutest mitambo yake Mf:usku hapatkan, Yuko online ila hajibu text zako, Kuna MDA anakublock, Kuna MDA anatumika Sana n.k
Hii yote Ni kujaribu kufufua mapepo yako ya wivu yakoje na Kama penz limekukolea au lah!
Akifanikiwa kupandikiza pepo la wivu kwako, Basi atashika rimoti na utaanza kua mtumwa wake maana ukijichetua atajinunisha Kisha ukiomba msahamaha atakupa condition zake ili usamehewe.
Ukithubutu kuingia kwny huo mtego.
Basi jua umekwisha. Nakuapia Utakosa Uhuru binafsi, atakumiliki Kama toy lake, atakupigia MDA wa kulala,wa kumpigia Simu, wa Kwenda kwake,
Atakupangia marafiki wa kua nao,ndugu wa kuongea nao, pesa zake za kutumia.
Na mapenz yatakutesa sana na hakuna rangi utaacha kuona mkuu.
Nikwambie TU,
WANAWAKE SIKU ZOTE WAKO SMART SANA WANAPOTAKA KUKUMANIPULATE NA HUANZIA MBALI TENA KWA VITU VIDG VIDG ILI UZOEE UWE ADDICTED[emoji4]
Hakika.Mwanaume UKISHINDWA kufahamu nguvu ya korodani unazozimiliki ... Kila mwanamke atakuendesha anavyojisikia
Mpuuzi sana huyu shingoMko na michezo...
Binafsi nachukia tena sipendi mtu ambaye matatizo yake anafanya Social Media ndiyo sehemu ya kupata Suluhisho(Huyu ni Mimi)
Hii ndo shida kubwa nimeigundua kwa wanawakeYeah! itabidi iwe hivo maana yeye analalamika kwamba simtafutagi hadi aanze yeye ila mara zote nnazojaribu kumcheki mimi naishia kuwa disappointed
Maana anaweza asipokee simu au asijibu hata ujumbe siku nzima.
So me baada ya kunote hicho nlijiapia kwamba sitowahi kuwa wa kwanza kumtafuta na yeye anaona kama labda anajipendekeza kwangu lakini ameshindwa kutambua je huyu mtu anaponjaribu kuniweka closer narespond vipi?
Tafuta mwingineHabari wakuu,
Naomba kuuliza dawa ya mwanamke ambae ukiondoa attention yako kwake analalamika kwenye status na kutia huruma sana kana kwamba anaonewa.
Ila mkianza kuwasiliana mfululizo anaanza kukuchukulia poa, ingawa unamkubali sana tu na mpo kwenye mahusiano miaka miwili sasa ila muondoko ni huo huo
Je watu wa aina hii niwakudeal nao vipi.
Yeah nenda na moyo ila usizisahau akili[emoji1666]Na mie huo mtego nashukuru nishauweza
Hata alalamike vipi mfumo wangu ni huo huo wa kupaki basi, akinicheki ntampokea akisepa nampa mgongo.
Sasa kaka hata kama ni wewe hapo me nna kosa gani.Hii ndo shida kubwa nimeigundua kwa wanawake
Mkuu, Hii GB Whatsapp naipata wapi.. kama una link nisaidie niipakuwe na mmTumia GB WhatsApp, unakuwa unaona status zake bila yeye kujua kwamba umeona
Hiyo mbona inaeleweka tu na hate mtoto wa darasa la piliNimekuelewa lakini wengi hawatakuelewa
Hakikisha unapokuwa kwenye mahusiano unamuonyesha mwanamke unaweza kuishi bila yeye otherwise itakuja kula kwako siku mojaHabari wakuu,
Naomba kuuliza dawa ya mwanamke ambae ukiondoa attention yako kwake analalamika kwenye status na kutia huruma sana kana kwamba anaonewa.
Ila mkianza kuwasiliana mfululizo anaanza kukuchukulia poa, ingawa unamkubali sana tu na mpo kwenye mahusiano miaka miwili sasa ila muondoko ni huo huo
Je watu wa aina hii niwakudeal nao vipi.
She's trying to manipulate your mind
Anataka attention yako
ili kukutengenezea addictiction kwake
In the longrun ukishakolea vzur penzini anauhakika ataweza kukucontrol vizur akupelekeshe anavotaka.
Na ana uhakika hutachomoka maana tayr na Wewe ushaizoea Hali hiyo na itakua ishaingia kwny damu yako.
(Always thinking about her)
Hapo nae ndo ataanza kutest mitambo yake Mf:usku hapatkan, Yuko online ila hajibu text zako, Kuna MDA anakublock, Kuna MDA anatumika Sana n.k
Hii yote Ni kujaribu kufufua mapepo yako ya wivu yakoje na Kama penz limekukolea au lah!
Akifanikiwa kupandikiza pepo la wivu kwako, Basi atashika rimoti na utaanza kua mtumwa wake maana ukijichetua atajinunisha Kisha ukiomba msahamaha atakupa condition zake ili usamehewe.
Ukithubutu kuingia kwny huo mtego.
Basi jua umekwisha. Nakuapia Utakosa Uhuru binafsi, atakumiliki Kama toy lake, atakupigia MDA wa kulala,wa kumpigia Simu, wa Kwenda kwake,
Atakupangia marafiki wa kua nao,ndugu wa kuongea nao, pesa zake za kutumia.
Na mapenz yatakutesa sana na hakuna rangi utaacha kuona mkuu.
Nikwambie TU,
WANAWAKE SIKU ZOTE WAKO SMART SANA WANAPOTAKA KUKUMANIPULATE NA HUANZIA MBALI TENA KWA VITU VIDG VIDG ILI UZOEE UWE ADDICTED[emoji4]
Cha msingi akielewa mtoa mada inatosha.Nimekuelewa lakini wengi hawatakuelewa