MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 10,016
- 14,761
Dawa yake ni kumuacha kabisa!
Tatizo nyinyi vijana hamtaki kuoa. kila siku mnapiga mahesabu ya muendeleo ya uchumba. Ningekushauri uoe mke kihalali ili uweze kufanya maamuzi ya kihalali.Habari wakuu,
Naomba kuuliza dawa ya mwanamke ambae ukiondoa tention yako kwake analalamika kwenye status na kutia huruma sana kana kwamba anaonewa.
Ila mkianza kuwasiliana mfululizo anaanza kukuchukulia poa, ingawa unamkubali sana tu na mpo kwenye mahusiano miaka miwili sasa ila muondoko ni huo huo
Je watu wa aina hii niwakudeal nao vipi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiweza kumuelewa huyo jamaa basi tatizo lako limeshakwisha [emoji28]
Yes Sir I can help you how to change her, Just replace her with Well matured one.Nimekuelewa mkuu,can u help me how to change her?
Status ni kwaajili ya Ke pekee, tupo vidume tangu kuumbwa kwa dunia hatujuagi nini maana ya status katika Whatsapp kabisa.Wanawake bana Kunao wale wengine unawasiliana nao vizur wanakwambia ni wazima Ila baadae wanaweka status WhatsApp kuwa wanaumwa ukiangalia bila kureply chochote ugomvi unaanza, wakat angeweza kukwambia kuwa anaumwa kabla hujaona status siku hizi siangalii status zao
oa uwe na mke.Habari wakuu,
Naomba kuuliza dawa ya mwanamke ambae ukiondoa attention yako kwake analalamika kwenye status na kutia huruma sana kana kwamba anaonewa.
Ila mkianza kuwasiliana mfululizo anaanza kukuchukulia poa, ingawa unamkubali sana tu na mpo kwenye mahusiano miaka miwili sasa ila muondoko ni huo huo
Je watu wa aina hii niwakudeal nao vipi.
Kwa case ya wanaume hizo sio weakness zenu.Men are not megalomaniacal or starving for attention. Neither manipulative
Yeah! itabidi iwe hivo maana yeye analalamika kwamba simtafutagi hadi aanze yeye ila mara zote nnazojaribu kumcheki mimi naishia kuwa disappointedYes Sir I can help you how to change her, Just replace her with Well matured one.
Kama hizi ndo akili zako ni Bora uendee kuchunga ng'ombe ndo wanyama pekee unao endana nao kifikraStatus ni kwaajili ya Ke pekee, tupo vidume tangu kuumbwa kwa dunia hatujuagi nini maana ya status katika Whatsapp kabisa.
Khaaa, huna dogo wewee 😂😂Mimi naona wewe na wifi hamjakomaa kiakili bado
HahahaaaKama hizi ndo akili zako ni Bora uendee kuchunga ng'ombe ndo wanyama pekee unao endana nao kifikra
Man Up. Yeye sio mwanamke pekee akeYeah! itabidi iwe hivo maana yeye analalamika kwamba simtafutagi hadi aanze yeye ila mara zote nnazojaribu kumcheki mimi naishia kuwa disappointed
Maana anaweza asipokee simu au asijibu hata ujumbe siku nzima.
So me baada ya kunote hicho nlijiapia kwamba sitowahi kuwa wa kwanza kumtafuta na yeye anaona kama labda anajipendekeza kwangu lakini ameshindwa kutambua je huyu mtu anaponjaribu kuniweka closer narespond vipi?
Aisee [emoji1787]Yani hawa viumbe sijui wakoje asee
Me nimechoka kwa kweli,mahusiano utadhani unacheza na team iliyojaza mabeki mpaka uwaze jinsi ya ku unlock.
Yeah! itabidi iwe hivo maana yeye analalamika kwamba simtafutagi hadi aanze yeye ila mara zote nnazojaribu kumcheki mimi naishia kuwa disappointed
Maana anaweza asipokee simu au asijibu hata ujumbe siku nzima.
So me baada ya kunote hicho nlijiapia kwamba sitowahi kuwa wa kwanza kumtafuta na yeye anaona kama labda anajipendekeza kwangu lakini ameshindwa kutambua je huyu mtu anaponjaribu kuniweka closer narespond vipi?
Mkuu hao viumbe mwachie alieviumba tu! Wapo kama VIRUSES mna mwingine ni LIVING ORGANISM na mda mwingine ni NON_LIVING ORGANISM! dawa nilio watengenezea " nikiwa na mwanamke hua namchukulia kama mtoto wangu wa kwanza " ila ukimchukulia kama mkeo au mtumzima mwenzio huto waelewa milele hata awe ametumwa kutoka mbinguni ukiwa unaona kwa macho[emoji850]Habari wakuu,