Mtu na Mkewe wanagombana chumbani,ghafla ugomvi unakuwa mkubwa na mke anaamua kukusanya
vitu vyake kwa lengo la kuondoka,Mume anashangaa- anamuuliza,Unakusanya vitu unaenda wapi? Mke kwa nyodo
anajibu Nakwenda kwa Mama yangu.Mume naye akaanza kukusanya nguo zake na kuweka kwenye mabegi yake, mke
kwa jeuri akamuuliza mume wake,Unapaki unakwenda wapi? Mume akajibu kwa tabasamu, na mimi nakwenda kwa Mama yangu,Mke akauliza tena "Hawa watoto wako watabaki na nani? Mume kwa kujiamini akajibu nao waende kwa mama yao kama sisi tunavyokwenda kwa mama zetu.Je nani inakula kwake hapo......??????