Tumbukiza dushelele mdomoni mwake
we naweee kila tatizo huyo shemeji yako analo!!! khaa!! we huna??
mwaya Delvis ukute huyo mchumba wako anachoka sana. na kama analalia mito vibaya kiasi cha kufanya shingo ikae vibaya na mdomo utabaki wazi.
Asije tu akameza mashuka..Umemwambia?????
Akilalia kitumbotumbo bado anaachama?