rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,106
- 18,713
pole sana,nilikumis sana kwa at least 2weeks but nilikosa wa kumuuliza.
Asante mpendwa hata mimi niliwamiss pia sisi wote ni ndugu atii
pole sana,nilikumis sana kwa at least 2weeks but nilikosa wa kumuuliza.
kwa niaba ya waliokumis kama mimi natoa shukurani za dhati kwa kurejea ulingoni salama,especially kwenye jukwaa hili la mmuAsante mpendwa hata mimi niliwamiss pia sisi wote ni ndugu atii
kwa niaba ya waliokumis kama mimi natoa shukurani za dhati kwa kurejea ulingoni salama,especially kwenye jukwaa hili la mmu
umenifariji sanaAsantee kipenzi. KISSKISS!!
hii range rover revere sijawah kuiskia asee,,ni toleo ya mwaka 2016 nn
ni kali kinyama asee!!!
Angry hasiraGari limekosa nini hapo.
Huyo naye lofa!
Sasa kuchafua gari kumemsaidia nini?
We ungefanyaje...
Rubii huyu jamaa siyo lofa kama unavyofikiria kwa sababu hana hela ya mawazo. Halafu hiyo gari siyo ya mkopo kama zilivyo za Wabongo wengi. Huyu jamaa amechora gari yake kwa sababu anazo nyingi na hiyo aliyoichora anaenda kuitupa kwenye jalala.Huyo naye lofa!
Sasa kuchafua gari kumemsaidia nini?
Rubii huyu jamaa siyo lofa kama unavyofikiria kwa sababu hana hela ya mawazo. Halafu hiyo gari siyo ya mkopo kama zilivyo za Wabongo wengi. Huyu jamaa amechora gari yake kwa sababu anazo nyingi na hiyo aliyoichora anaenda kuitupa kwenye jalala.