Dawa ya mchepukaji hii hapa

Dawa ya mchepukaji hii hapa

Hilo nalo ni jipu,,,,, kuna namna nyingi sana za kuufikisha ujumbe ila hii iliyotumika hai make sense
 
Rubii huyu jamaa siyo lofa kama unavyofikiria kwa sababu hana hela ya mawazo. Halafu hiyo gari siyo ya mkopo kama zilivyo za Wabongo wengi. Huyu jamaa amechora gari yake kwa sababu anazo nyingi na hiyo aliyoichora anaenda kuitupa kwenye jalala.
Gari imechorwa, hajaichora mwenye nayo!
 
Back
Top Bottom