Dawa ya mapenzi

Dawa ya mapenzi

Kumbe hata sumu wakati mwingine mnaiita dawa ?
******************************************************************************************************************************
hapo kazi ipo tena siyo kidogo.
 
Wewe Bwana mdogo unaonyesha neno Mapenzi au penzi hulijuwi. Sitoweza kukupa faida ninakuacha kama ulivyo na akili zako ziwe hivyo hivyo unavyofikiria KikulachoChako

Mkuu MziziMkavu...kwa nyakati hizi ambazo pesa imekuwa nyenzo kuu ya maisha....huwezi kuyatenganisha mahaba na ATM...kwa kuwa mapenzi ni raha na kuenjoy.....sasa utayafanyaje hayo bila pesa mkuu...
Mpenzi anahitaji kuvaa
Mpenzi anahitaji kwenda saloon japo kwa week mara moja...
Kuna wakati inabidi mutoke mitoko ya jioni kwa ajili ya dinner or something...
Bado sijazungumzia mizinga ya mpenzi Kama vocha..na vitu vingine vidogo ambavyo vinahitaji hela.....sasa hapo kwa mlolongo huu utaona ni jinsi gani pesa ilivyokuwa muhimu....mkuu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom