KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,155
- 40,949
Hiii ndio dawa ya uhakika ya penzi.....
Ha ha ha ha! Uwiiiiiiiiiiiiiiii, sawa mkuu.
Kweli hiyo dawa haswaaa kiboko ya dawa zote!!!!
Hapo haina haja kukesha kwa waganga kutafuta kizizi.....wala mavumba we kasha kazini kutafuta mshikom tu......wakina@miss chagga mpaka utawafukuza geto.....maana wako radhi kupanga foleni....mlangonii....
hahahaha inaelekea uzoefu mzuri unao...maana ...........
sasa wengine wanakuwa wachoyo kuitoa ndio maana sangoma anahusika hapo
Hapo haina haja kukesha kwa waganga kutafuta kizizi.....wala mavumba we kasha kazini kutafuta mshikom tu......wakina@miss chagga mpaka utawafukuza geto.....maana wako radhi kupanga foleni....mlangonii....
yeduuuu kiruuuUmeonaeeee.....yaani hapo miss chagga unamvuta hata kwa unywele tu anakuja......
then hujamalizia.....wanakuwa pia tayari kushare hata kama wapo wanne...demu mzuriii anajileta tuu..
Hewaa.......hapo hata kama una kibamia utaambiwa una mtwangio.......View attachment 203539
Ndio kila kitu!!!
sasa wengine wanakuwa wachoyo kuitoa ndio maana sangoma anahusika hapo
Hewaa.......hapo hata kama una kibamia utaambiwa una mtwangio.......