Dawa ya mapenzi jamani.....

Dawa ya mapenzi jamani.....

SINGLE RASHID

Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
71
Reaction score
15
Hi kwa wooote...
Ndugu zangu msinichose wala nisiwachose kwa maneno mengiii maana mficha uchi azai na mficha ugonjwa maradhi yatamuumbua....Naomba kujua wapi ntapata dawa ya mapenzi ya kienyezi nataka nianze mapenzi sasa rasmi....Nile vichwa kimoja baada ya kingine kwa maneno machache tuu na kushika mkono tuu...wapi mganga wa kweli jaman
 
unataka uwe unagonga kama fisi maji? maana yeye angonga hata mawe...
 
Hebu kijana badilika achana na mambo ya kijinga,
dawa ya mapenzi ya nini? ya kazi gani?
Jaribu kutafuta msichana mmoja ambaye utaona kwamba anakufaa na uwe tayari kuwa nae.

Sidhani kama ni njia sahihi unayotaka kupita eti kwa kisingizio cha kutaka kupitia kila mtu zaidi ya kujitafutia magonjwa yasiyo na sababu, mangeu yasiyo yalazima, uhasama usioisha na zaidi ya yote kujivunjia heshima baina yako na watu wengine, watu kukudharau na kukuona malaya, mtu usiye jiheshimu.

Jaribu kubadilika na kufanya mambo ya kiutu uzima kwaani naamini nawe umeshakua.
 
Kama shida yako ni kula vichwa kwanini upoteze pesa zako kwa mganga.. ? Si uende moja kwa moja kwa kida dada wanaotuo huduma hio kwa ujira
 
Hi kwa wooote...
Ndugu zangu msinichose wala nisiwachose kwa maneno mengiii maana mficha uchi azai na mficha ugonjwa maradhi yatamuumbua....Naomba kujua wapi ntapata dawa ya mapenzi ya kienyezi nataka nianze mapenzi sasa rasmi....Nile vichwa kimoja baada ya kingine kwa maneno machache tuu na kushika mkono tuu...wapi mganga wa kweli jaman

Tantric sex and let him keep you in his bed all night long .Let him heal you .sex does heal if your in love
 
Mshangae na wewe! Wakati kwa sababu purchasing power ya wadau iko chini kuna discounts za maana, yeye anauza nyago humu!
Kama shida yako ni kula vichwa kwanini upoteze pesa zako kwa mganga.. ? Si uende moja kwa moja kwa kida dada wanaotuo huduma hio kwa ujira
 
Kweli we umepitwa na wakati, au ndo unabalehe nini?
 
Mkumbuke Muumba wako siku za Ujana wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom