Dawa ya majipu (Msaada please)

Saharavoice

JF-Expert Member
Aug 30, 2007
3,879
2,369
Wakuu heshima kwenu,
Nina vijana wangu huku porini wanaugua majipu. mmoja anasema ni miaka mitatu sasa yanamsumbua, likisha moja linakuja lingine. Msaada please wa dozi ili yaishe.
 
Majipu:
Saga kitunguu maji na kikange katika mafuta ya zaituni bila ya kuwa rangi ya manjano, paka kama marhamu na funga bendeji juu yake. Kila siku ukibadilisha pamoja na kusafisha utokaji wa usaha umalizike, halafu utakuwa ukitumia habat-sawda........................ Saharavoice
 
Last edited by a moderator:

Shukrani MziziMkavu, nitawapa maelekezo, but hii habat Sawda ni nini?
 
Wakuu heshima kwenu,
Nina vijana wangu huku porini wanaugua majipu. mmoja anasema ni miaka mitatu sasa yanamsumbua, likisha moja linakuja lingine. Msaada please wa dozi ili yaishe.

Mkuu jaribu kutafuta maji ya baharini au uwapeleke wakaoge baharini

Baraka Boki (MEng, MBA from Duke University)
 
kamua jipu hadi liishe na kiini kitoke, ogea medketed soap na wanywe cloksasilin doz moja(vifanywe vyote kwa pamoja)..asisubir jipu lipone hii itasaidia kulikausha nakuzuia other infekshen ktk damu cz damu zao ni chafu.
 
Shukrani MziziMkavu, nitawapa maelekezo, but hii habat Sawda ni nini?
Mkuu Habat sawda inapatikana sokoni Kariakoo kama wewe upo jijini Dares-Salaam nenda hapo Sokoni kariakoo Mtaa wa Nyamwezi au Mtaa wa Pemba kaulize kwenye maduka ya Madawa za Kiarabu Wapemba ndio wanaouza hapo au kama unaye jirani Muarabu muulizie atakupatia au angalia Picha yake hii hapa ........................................ Saharavoice

black-seed-nigella-sativa.JPG
black-seed-oil.JPG

Black seed oil (Nigella Sativa) Habat Sawda na Habat Sawda Mafuta yake.
 
Last edited by a moderator:
Mara nyingi unapaka tu mafuta ya breki kila siku mara tatt.Mafuta haya yananyonya uchafu kwa haraka sana.Nimewahi tumia
 
Nami nilikuwa na tatizo hilo la majipu toka utoto wangu mpaka nilipotimiza miaka 24 nakumbuka nilipewa ethromycin toka kipind hicho mpaka sasa sijashikwa na jipu.
 
Back
Top Bottom