second9 JF-Expert Member Joined Jun 22, 2016 Posts 296 Reaction score 635 Oct 4, 2025 #1 Wakuu, Kuna dawa nilitumia mafua yakakata ndani ya masaa kadhaa tu japo pua ilikuwa kama inaungua. Niliuziwa Mbeya mtu alikuwa anapita nazo tu hotelini. Hii dawa naitafuta tena kwa yeyote anajua inapopatikana kwa Dar.
Wakuu, Kuna dawa nilitumia mafua yakakata ndani ya masaa kadhaa tu japo pua ilikuwa kama inaungua. Niliuziwa Mbeya mtu alikuwa anapita nazo tu hotelini. Hii dawa naitafuta tena kwa yeyote anajua inapopatikana kwa Dar.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,491 Reaction score 76,351 Nov 9, 2025 #2 Ngoja Waje