Dawa ya mafisadi

mmzalendo

Senior Member
Nov 1, 2010
165
1
dawa ya mafisadi ni kuchukua sheria mkononi kama tunavyofanya kwa vibaka , tukiwaona mtaani tu tunawagawana kama wanavyodawana mali zetu watahacha tu hakuna mtu hasiye ogopa kifo kuliko kumsubilia huyu mkwere na mahakama zake waoga hao kwanza wote ni team member na wapo hapo kutetea maslahi ya mafisadi wenzao utafungaji kibaka harafu bazir unampigia kampeni
 
Unafikiri kwa njia hiyo mafisadi wataisha? Vibaka wameanza kuchomwa moto zaidi ya miaka ishirini iliyopita lakini idadi yao inazidi kuongezeka.
 
Hayo yanawezekana katika hali halisi?Nadhani hiyo ni utopian thinking.
dawa ya mafisadi ni kuchukua sheria mkononi kama tunavyofanya kwa vibaka , tukiwaona mtaani tu tunawagawana kama wanavyodawana mali zetu watahacha tu hakuna mtu hasiye ogopa kifo kuliko kumsubilia huyu mkwere na mahakama zake waoga hao kwanza wote ni team member na wapo hapo kutetea maslahi ya mafisadi wenzao utafungaji kibaka harafu bazir unampigia kampeni
 
Umenena vyema. Watafutwe hasa katika minada na chako ni chako kule Idodomya.
 
hayo yanawezekana katika hali halisi?nadhani hiyo ni utopian thinking.

nani aijua gaddafi hata kuwa katika hali haliyo nayo

hatutaki waoga kama wewe
baki na thinging zako mafisadi wao wana act
na sisi sasa ni wakati wa action
nadhani wewe umeajiliwa kwenye viwanda vyao
au ulidesa
 
Back
Top Bottom