SHIEKA JF-Expert Member Dec 20, 2011 8,240 4,262 Jun 18, 2016 #2 Akiondoka huyu anaingia mteja mwanamke.Vituko ndo vinaanza - wee mama, kalumanzina hataki ufunike kifua, acha wazi.Halafu nguo ya ndani vua, dawa itaingizwa huko!
Akiondoka huyu anaingia mteja mwanamke.Vituko ndo vinaanza - wee mama, kalumanzina hataki ufunike kifua, acha wazi.Halafu nguo ya ndani vua, dawa itaingizwa huko!
Kingsharon92 JF-Expert Member Aug 10, 2015 7,760 10,146 Jun 18, 2016 #3 Hahaaaa kuku alivyodumaa kichwani mwa huyo jamaa na yeye atakuwa hivyo
Freyzem JF-Expert Member Jun 29, 2013 10,113 24,642 Jun 18, 2016 #4 Bado kidogo atatagia na kutotolea kifaranga hapo kichwani huyo kuku...
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,760 730,008 Jun 18, 2016 #5 PAGAN said: Click to expand... Kazi ipo.. Halafu ukitoka hapo unaambiwa umuombe Mungu ufanikiwe
PAGAN JF-Expert Member Aug 19, 2014 11,768 19,303 Jun 18, 2016 Thread starter #6 mshana jr said: Kazi ipo.. Halafu ukitoka hapo unaambiwa umuombe Mungu ufanikiwe Click to expand... Hapo anamuomba kuku ili afanikiwe.
mshana jr said: Kazi ipo.. Halafu ukitoka hapo unaambiwa umuombe Mungu ufanikiwe Click to expand... Hapo anamuomba kuku ili afanikiwe.
Lepanto JF-Expert Member Jan 5, 2015 1,162 500 Jun 18, 2016 #7 Kingsharon92 said: Hahaaaa kuku alivyodumaa kichwani mwa huyo jamaa na yeye atakuwa hivyo Click to expand... huyo kuku anamdondo!
Kingsharon92 said: Hahaaaa kuku alivyodumaa kichwani mwa huyo jamaa na yeye atakuwa hivyo Click to expand... huyo kuku anamdondo!