Dawa ya maDADA/WANAWAKE wapenda pesa.!

wewe si hutaki kutoa feza basi nunua za kuchonga inakuwa poa labda kulipia luku tuuuuuuuu
 
mpe mtu akipendacho
kama ni pesa,mpe nyingi kabisa
tena kila siku
 
Sasa mwanamke asiyependa pesa unamtaka wa nini? Kwanza utamtoa wapi mwanamke wa aina hiyo? Hujui kuwa kupenda pesa kwa wanawake ndio kunatufanya tuumize vichwa kuchakarika? Kujenga nyumba, kufanya investments zote ni sababu ya challenges kutoka kwa wanawake. Mwanamke mwenye akili anampa mume wake changamoto chanya ya maendeleo. Ukipata mwanamke mwenye kutokupenda pesa wewe andika maumivu. Na ujue wanao watakuja kuwa mazoba wasio na vision ya maisha. Ungesema tamaa za kipuuzi ningekuelewa. Lakini kupenda pesa kwa mwanamke to me is criterion number one. La msingi awe ni go-getter wa kubuni na kusimamia vyanzo halali ki-maadili vya mapato. Hakuna raha kama unapiga deal halafu unarudi kwako unamwaga mpunga msimbazi unamwambia mamaa ahesabu kitandani. Ha ha ha.
 
We mpe tu hiyo pesa... usipoangalia hata banda hujengi, these creatures suck like hell..
 
Wapenda hela ni malaya, mbona wapo wasichana wazuri sana wasiopenda pesa. Demu likianza kukuomba pesa unatupa kule, apeleke uchangudoa wake huko huko..
 

Yeeeeeeeeeeeeeeeeees! That's ma man!!!!!! Big up!!!! I like this attitude!!!!
Good night & sleep tight!!!!!!
 
Kwa wadada wapenda pesa dawa ni hii hapa chukua milioni moja kisha mwambie atafute milioni 20 and wewe unaendelea kutafuta 19 mfanye jambo la msingi. Kisha uje utoe jibu jamvini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…