Richard mtao
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 217
- 242
Habari wana JF,
Leo kupitia account ya swahili times nimeona juu kutolewa sokoni kwa dawa ya macho aina ya ‘XSONE N’ matoleo namba 69E00123 na 69D02323 inayotengenezwa na kiwanda cha Abacus Parenteral Drugs Limited (APDL) cha nchini Uganda.
Kwasababu inaonekana haijakidhi vigezo vya ubora( required standards) na wakaenda mbali kwa kuutadharisha umma juu ya uamzi huo na kuwasihi wananchi kutotumia dawa hizo ili kuepukana na madhara.
Sasa najiuliza dawa hizi ziliingia vipi sokoni?
Na je wana uhakika gani kwamba kila mtanzania anaweza ku access vitu mtandaoni?
Mimi nadhani ifike mahali, hizi mamlaka ziwe serious na maisha ya watu, waache kufanya kazi kwa mazoea jmn.
Mh. Rais anapambana sana kuifanya Tanzania kuwa mahali salama na pazuri pa kuishi lakin kuna watu waliokosa uadilifu ama kwa kujua au kutokujua wanaiangusha serikali.
Ushauri wangu.
TMDA tokeni ofisn shilikieani na mamlaka zingine kutoa Dawa hizi sokoni kwa vitendo, pia tumieni vyombk vya habari Tv na Redio kuwahabarisha waTanzania wote juu ya jambo hili na muwaeleze ni madhara kiasi gani wanaweza kupata endapo watatumia dawa hiyo.