kwenda21
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 3,423
- 3,416
Unawaua kwanini? Huniulizi kwanini wamekuja Kujenga kwako na si mwingine?
Ngoja nikwambie kitu kwanini niliacha kuuwa wadudu, siku moja nilikuwa naishi sehemu na kipindi hiko nilikuwaga na matatizo sana ya bega, niliangaika hospital zote unazozijua lakini hali haikuwa poa kabisa niliumwa sana Mimi
Sasa kuna siku kuna Demu nilimuona sehemu nikamtongoza, akakubali kuja geto usiku kwa sababu kesho yake alikuwa anasafiri kwa hiyo alikuja kulala geto then kesho aamkie stand ya mabasi, alikuja na begi kubwa la nguo. So usiku tukalala lakini mida kama ya saa nane night Mimi nilihisi mdudu ananitambaa mgongoni
Nikambana nikamkosa akakimbilia begani nikambania hapo Mara akaningaata da yale maumivu yalimsha maumivu tena ya bega, basi nikaichukua ile shuka mpaka kwenye beseni nikachemsha maji kwenye jagi ya moto nikayatia mle. Daaa bonge la tandu likaja juu jeusi kinoma ila lilishakufa na maji ya moto yale
Huezi amini asubuhi maumivu ya bega yaliondoka kwenye bega, sasa Nina mwaka wa kumi huu no pain anymore, najuta kumuua