Dawa ya kuua huyu mdudu

Dawa ya kuua huyu mdudu

Robot la Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
8,584
Reaction score
17,528
Tafadhali anayejua dawa nzuri ya kuua hawa wadudu anisaidie. Wapo wengi juu ya siringbodi. Usiku wanawika
20230708_171732.jpg
 
Mjusi taa ana shida mwache tu na life cycle yake INGEKUWA nyoka kweli sababu ana uwezo wakung'ata na kukuua
 
Asee ndugu yangu waache hao viumbe watimize ecosystem, unankumbusha geto langu Manzese alikuwepo ndani mmoja kila nkitaka kumuua roho inasita, siku moja nashtuka usiku wa manane namkuta kambana N'ge mkubwa mdomoni kisawasawa na alimla mpaka kammaliza.

Nikawaza ingekuwaje yule N'ge angekuja nlipolala godoro nmetandika chini sina kitanda sina net
 
Nasikia wana sumu hatari, akidondoka kwenye chakula familia nzima mnakufa
 
Back
Top Bottom