Dawa ya kupunguza Joto Mwilini

Dawa ya kupunguza Joto Mwilini

TANMO

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
12,086
Reaction score
12,691
Jamani mimi nina tatizo la kuhisi joto sana pamoja na kusweat hata kama hali ya hewa siyo joto sana hivyo ninaomba msaada wa kitaalamu kama kuna dawa au vipodozi ambavyo vinaweza kuondoa hiyo hali.

Nitafurahi kupatiwa ufumbuzi wa hili tatizo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom