Dawa ya kupunguza APPETITE

Kichwa

Kichwa

Senior Member
Joined
Mar 15, 2007
Messages
119
Likes
2
Points
0
Kichwa

Kichwa

Senior Member
Joined Mar 15, 2007
119 2 0
Wakuu mimi nakula sana, matokeo yake nina kilo 120 na nimfupi kwa hiyo niko kwenye risk ya kupata magonjwa. Ninasikia njaa kila baada ya lisaa. Nakula kitimoto kama kilo 2 na ugali sahani moja na tusker baridi 3. Milo mingine kama wali au chips ni kama nachiokoza koo tu. Vikuku vya kisasa labda viwili ndio nashiba. Kwa siku maji nakunywa kama lita 5 na ushee. Mayai asubuhi ya kuchemsaha nakula 6 na mkate mdogo mzima. Nisaidie mwenzenu sijui kwa nini hii appetite inakuwa kali hivi. Enzi hizo nikiwa nasoma walimu walinirudisha nyumbani nilikuwa hadi naiba chakula cha walimu kwa vile cha wanafunzi kilikuwa hakinitoshi. Mke wangu ananitania nitaua watoto.
 
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,301
Likes
227
Points
160
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2007
22,301 227 160
Ooooh my dia! Hebu pata vitamin B complex tabs 2 x3 kwa muda wa wiki mbili halafu angalia hali kama imebadilika!
 
Kichwa

Kichwa

Senior Member
Joined
Mar 15, 2007
Messages
119
Likes
2
Points
0
Kichwa

Kichwa

Senior Member
Joined Mar 15, 2007
119 2 0
Ooooh my dia! Hebu pata vitamin B complex tabs 2 x3 kwa muda wa wiki mbili halafu angalia hali kama imebadilika!

Mkuu Hizi si zinaongeza hamu ya kula zaidi? halafu ukikojoa mkojo unanuka na unakuwa wa njano?
icon9.gif
icon9.gif
 
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,301
Likes
227
Points
160
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2007
22,301 227 160
Mkuu Hizi si zinaongeza hamu ya kula zaidi? halafu ukikojoa mkojo unanuka na unakuwa wa njano?
icon9.gif
icon9.gif
Jaribu Mazee sitakusaidia sana ! Usiwe unachungulia mkojo wako na kuunusa hiyo husababisha kuwa na ferocious appetite kama ya nguruwe wa kufugwa!
 
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Messages
21,972
Likes
134
Points
145
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined May 3, 2008
21,972 134 145
Jaribu Mazee sitakusaidia sana ! Usiwe unachungulia mkojo wako na kuunusa hiyo husababisha kuwa na ferocious appetite kama ya nguruwe wa kufugwa!
Hahahaha nimeipenda mpwa hiyo lol mazoezi vp afanye au asifanye?
 
Kichwa

Kichwa

Senior Member
Joined
Mar 15, 2007
Messages
119
Likes
2
Points
0
Kichwa

Kichwa

Senior Member
Joined Mar 15, 2007
119 2 0
Jaribu Mazee sitakusaidia sana ! Usiwe unachungulia mkojo wako na kuunusa hiyo husababisha kuwa na ferocious appetite kama ya nguruwe wa kufugwa!
leo nimejitahidi kupunguza nasikia faraja nimekula chapati 6 na mchuzi wa nyama na lita moja ya maji na tikiti 1. Nitachunguza hizo dawa kabla ya kutumia mshahara wangu ni mdogo na unaishia kwenye chakula.
 
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,301
Likes
227
Points
160
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2007
22,301 227 160
leo nimejitahidi kupunguza nasikia faraja nimekula chapati 6 na mchuzi wa nyama na lita moja ya maji na tikiti 1. Nitachunguza hizo dawa kabla ya kutumia mshahara wangu ni mdogo na unaishia kwenye chakula.
Alternatively unaweza kula mikate 4 ya Azam, na chai birika 1. Kula na papai zima hiyo asubuhi....na vitamin B complex this is a good anti-appetite ever!
 
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Messages
21,972
Likes
134
Points
145
Fidel80

Fidel80

JF-Expert Member
Joined May 3, 2008
21,972 134 145
Aache kufanya tendo la ndoa kwa muda wa miezi sita na asijichue kabisa!
Dah haya masharti sasa magumu je ubongo nao ukitamani mwanamke mwenye morphology za ajabu ajabu kama ushuzi mkubwa nyuma haiwezi mletea madhara?
 
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,301
Likes
227
Points
160
Masanilo

Masanilo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2007
22,301 227 160
Dah haya masharti sasa magumu je ubongo nao ukitamani mwanamke mwenye morphology za ajabu ajabu kama ushuzi mkubwa nyuma haiwezi mletea madhara?
Inabidi ashinde hizo taa kwa kuomba na kusali! shetwani ashindwe
 
Forum statistics

Threads 1,237,246
Members 475,501
Posts 29,282,533