Dawa ya kuongeza urefu

Dawa ya kuongeza urefu

Kwani urefu unaanzia futi ngapi Mkuu? Isije kuwa na mie kafupi.

Inategemea na ulio nao, hata ukiwa na urefu wa futi moja lakini wenzako wana urefu chini ya futi moja basi wewe ni mrefu zaidi au super tall!!
 
Back
Top Bottom