Dawa ya kuongeza urefu

Dawa ya kuongeza urefu

iv ipo ya kupunguza uref??? Najihis mref mno mpaka nikitembea watu wananiangalia mno mpka najihis vibaya!
 
Wanawake wakimbilie hii fursa maana wao ndio wahanga wakuu wa ufupi [Andunjelism].

Unakutana na kabinti kafupi kama nyundo lakini kana makalio makubwa kama furushi la chawa. Unabaki kucheka tu.
 
Ila wanawake warefu tunachangamoto jomoniii...afu utakuta kuna kibushuti mmoja anakung'ang'aniaaaa kama luba..kifupiiii kama dawa ya mbu ya rungu...[emoji58]basi awe mpole uuuwiii wana gubu kama nyangumi
Kibushuti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaaa mbavu zanguu...
Sasa ni pale unapogundua huyo ndo anaekupenda kwa dhati wengine wazugaji..
Wazugaji warefu ila huyo husband material anaishia tumboni..loh!
Anaishia tumboni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji23][emoji23]
 
Wahanga Ni wanaume
Yaani mwanaume akiwa mfupi..duh Ni changamoto.

Ila sidhani km Kuna njia ya kuongeza kimo.
Wanawake mkiwa wafupi ni sawa tu et?[emoji23] sasa kama una futi 4 utaweza kuendana na mwanaume wa futi 6
 
Ndio Anne...halafu kuna mda tu najishushua ya wazungu waachie wazungu.hakuna cha blues wala French kiss kwa kusimama..
Anaishia tumboni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom