Dawa ya kuongeza makalio as zawadi nimeombwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya kuongeza makalio as zawadi nimeombwa.

Discussion in 'JF Doctor' started by Jay One, May 4, 2011.

 1. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,080
  Likes Received: 4,663
  Trophy Points: 280
  Dunia hii sistaajabu concerning women beauty, kuna dada mmoja yupo ana saloon yake ktk njia ya kuingilia kwangu, ni jirani tuseme, kaniomba zawadi ya dawa ya kuongeza makalio, tena yupo serious, kasema angekuwa na hela angenunua wala asingeniomba au nimkopeshe fedha nikamwuliza kulikoni uhangaike wakati yeye mrembo tu?
  Jibu lilinishtua kidogo, eti ana marafiki zake wawili wote walitumia dawa za kuongeza makalio na wakaolewa chapchap, tena si wazuri kama yeye kwa sura, eti yeye angepata T.A.K.O angekuwa na mume wa nguvu, so yeye ana vyote isipokuwa makalio ya Rumbesa kama wanavyoita is very marketable, ushauri plse.
   
 2. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mwambie ajiamini. Makalio sio kigezo cha mwanamke kuolewa. Atulie atapata anayempenda jinsi alvyo. Kwa nini ajinyweshe 'SUMU' kwa sababu ya wanaume?
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  :happy::evil:
   
 4. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mkuu kwani ww umeoa?kama hapana msaidie kuliko kutumia hiyo dawa.
   
 5. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  ,mbombo ngafu
   
 6. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Mwambie mwanamke nyonga ni makalio
   
 7. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Mwambie afanye research yake vizuri. Kuna wengi wana makalio na wapo wapo tu na kuna wasiyo nayo pia wapo wapo tu. Atafute sababu halisi ya yeye kutoolewa siyo anajibu swali gumu kwa jibu jepesi
   
 8. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  asa si awaombe hao marafiki zake waliiotumia na kuolewa,wenyewe ndio maexpert,kwa nini anakuomba wewe??au umekaa kama muuza makalio???:happy::happy::happy::happy:
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kaaaazii kweli kweli!!!
  Mwambie hiyo dawa ikidunda hata wewe aliyekuomba hiyo dawa hutamwangalia mara mbili au hutapata hiyo nafasi ya kumwangalia kabisa.
   
 10. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #10
  May 4, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,026
  Likes Received: 2,676
  Trophy Points: 280
  Naloli kalumbu.
   
 11. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #11
  May 4, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Jibu ni kwamba ombi la yule dada ni kuolewa nae sema jamaa hajajiongeza
   
 12. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #12
  May 4, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mwambie hiviiii.......kitendawili? tega nikutegue? akijibu vyote mpe Kitendawili...mwenye **** kubwa? jibu lake Made in China...so sio imara...
   
 13. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #13
  May 4, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  NI Kweli kabisa...kuolewa kuna mambo mengi sana ndani,
  ingekuwa ni uzuri wa nje tu basi LU SIII K I B A K W E E,
  ASINGEKUWA MOJA MWANAMKE......lol
   
 14. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  MR President ,nawe mgumu kuelewa,
  kama umeshindwa kumwelewa huyo mtu mmoja je utaweza kweli kuongoza nchi na kuwaelewa wananchi wote???...
  Huyo anataka awe 1st LADY WAKO .....lol,
  Ebu mtimizie matakwa yako kijana mwenzio ...lol
   
 15. s

  sirmudy JF-Expert Member

  #15
  May 5, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mm nina dawa original, haitaji kwenda kwa mchina, nitamjaza ndani ya wiki tu..........! ni PM plz........!
   
 16. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #16
  May 5, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  Wee mwache mama yangu na A.n.n.a.a je?
   
 17. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #17
  May 5, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  ha hahahh ah samahani...
  ila huyo uliyemtaja wewe mmh!! mi simo lakin....lol
   
 18. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #18
  May 5, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Bottom implant op kills hip-hop girl

  [​IMG]

  THIS is British wannabe hip-hop star Claudia Aderotimi, who died after an illegal cosmetic procedure to enhance her bottom went tragically wrong. The university student, 20, flew to Philadelphia, US, for silicone jabs to increase the curve of her buttocks. But Claudia, of Hackney, East London, suffered chest pains after the injections and died in hospital. US cops are investigating.

  She wanted the jabs because she thought having a bigger bottom would make her FAMOUS, heartbroken pals say. Claudia was desperate to transform her image with cosmetic surgery so she could appear in music videos. Friends revealed her confidence had dipped after she was dropped from a previous promo because her "booty" was too small. But the £1,000 procedure, carried out in a budget Philadelphia hotel, ended in disaster when Claudia suffered agonising chest pains and died.

  Talent scout Tee Ali met the university student - stage name Carmella London - when she filmed a video. He said she often wore special padded trousers to give the impression she had a shapelier backside. Tee said: "She was a dancer and choreographer. She loved to dance and had a drive to be famous. The problem was she didn't have no butt, and she wanted a butt. She went to audition for one video shoot wearing fake booty pants and she got all the attention.

  "But when they found out it was fake she didn't get asked back. It's such a shame. She's a victim of all these girls trying to be perfect. She thought if she had a big booty she would have been in better videos and been more famous." Claudia is thought to have travelled out last November to have a buttocks enlargement op.

  Read more: Brit wannabe hip-hop star Claudia Aderotimi died after her illegal op went tragically wrong | The Sun |News
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  May 5, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Dunia haiishi maajabu!!
   
 20. Graca

  Graca JF-Expert Member

  #20
  May 5, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 472
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mwambie aje nimpe maana mi naona kero tu.
   
Loading...