Dawa ya kuongeza heshima nyumbani

Dawa ya kuongeza heshima nyumbani

Mnyamahodzo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Posts
1,943
Reaction score
1,015
Nimeziona wanauza maeneo fulani hiv ya Morogoro, ni kati ya Morogoro na Mikumi. Hapo mahali ni mashuhuri kwa kuchimba dawa ikiwa unasafiri kwa mabasi kwenda nyanda za juu kusini kutoka Dar ama Dodoma.

Wauzaji waasema inatokana na miama fulani inayopatikana Dodoma.

Swali la msingi kwa waliotumia au kutumiwa, ni kweli ialeta heshima nyumani?
 

Attachments

  • Dawa ya kuongezaheshima nyumbani.JPG
    Dawa ya kuongezaheshima nyumbani.JPG
    470.2 KB · Views: 112
Back
Top Bottom