Dawa ya kuondoa vyeti feki hii hapa

Dawa ya kuondoa vyeti feki hii hapa

lendomza

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2016
Posts
396
Reaction score
228
Mfumo Wa elimu ndo unaotengeneza vyeti vya kweli au feki!!

mtu anaweza akafanya mtihani Leo akafeli lakini si kwa sababu hana akili kabisa!!huko nyuma kulingana Na idadi za Shule Na idadi ya walimu yawezekana mtu alikuwa anafeli aidha kwa sababu mtu huyu hajafikia marks ambazo zimetakiwa Ili mtu ajiunge Na sekondari !!

tatizo lingine ni hili kwamba mtu akifeli mtihani Wa taifa yawezekana ni vigumu kupata nafasi ya kurudia darasa hilo eg LA saba,form two au form four Na six.sasa mtu Aisha anaamua kurudi nyuma Na kuanza darasa lingine au anaiba Nina LA mtu mwingine ili asonge mbele!!hapa ndipo kwenye matatizo !!mtoto Wa maskini anakata tamaa Mtoto Wa tajiri ananunua cheti au Nina LA mtu anasonga mbele!!

Sasa nizungumzie dawa ya matatizo haya.
1.system ya elimu ibadirike mwanafunza anapokuwa amefeli darasa aruhusiwe kurudia darasa hilo

2.kuwepo Na mtihani Wa siada( supplementary ) ili mwanzafunzi arudie mtihani kama akifaulu mtihani huo asonge mbele!!jambo hili linafanyika hata vyuo vikuu.maana kufeli mtihani Leo haimaanisha kuwa huyu mtu ni kihiyo!!
3.katika darasa lolote endapo mwanafunzi atakuwa amefeli somo mojawapo apewe mtihani waziada akifaulu ndo aende darasa linalofuata

haya nizungumzayo ni ya hakika mfano kuna mtu alifeli LA saba akarudia darasa hilo hilo kwa jina hilo hilo Leo ni daktari bingwa!!
 
Mawazo yako mazuri, japokuwa hata sasa wanafunzi wa form two, four na six wanaruhusiwa kurudia, tofauti ni kwamba form 4 & 6 huwa hawaruhusiwi kuhudhuria darasani pamoja na wenzao na wanatungiwa mtihani tofauti na ule wa wenzao. Ushauri wangu kwa Wizara ya Elimu: Wasitofautishe mitihani na pasiwe na ubaguzi kwenye usahishaji, upangaji wa alama uwe sawia kwa wanafunzi wote.
Ushauri wangu wa pili ni kuhusu darasa la saba,: Wanaoshindwa kufanya vizuri darasa la saba warudie darasa na mtihani huo bila kubadili majina yao.
 
Back
Top Bottom