The Boss, dawa ya kuondoa foleni ni KUYAONDOA MAGARI barabarani. Hili ni suala la MIUNDOMBINU. Nilikwishamuelimisha Mwakyembe kuhusu solution. Hebu Google "Kuala Lumpur Monorail" kisha nenda kwenye "images" uone jinsi wenzetu walivyofanikiwa. Kwao foleni wanaisikia kwenye vyombo vya habari tu!
Hili siyo suluhisho 100%, kwa sababu miundo mbinu ya barabara iliyopo Keko,Tandika,Pugu etc bado ni finyu kuweza ku-accomodate pilika za biashara ulizotaja,suluhisho la uhakika ni uwepo wa barabara za kisasa na serikali kufungua maeneo ya biashara mchanganyiko(siyo aina moja kama unavyoshauri) kwenye njia kuu zinazoingia Dar kutokea mikoani,ili wajipatie huduma zote muhimu huko huko pembezoni,- Eneo la Kariakoo liwe na bidhaa moja tu ya biashara, mfano bidhaa za nguo.
- Maduka ya simu na vifaa vya simu yahamishwe, mfano Pugu.
- Maduka ya vifaa vya ujenzi yote yahamie mfano Tegeta.
- Vipodozi yote yaende mwenge.
- Vifaa vya kilimo Tandika. Posta yoote kusiwe na maduka zaidi ya maofisi na maduka ya nguo tu.
maduka ya furniture yote yaende Keko..
Tukiweza hili misongamano na foleni zitakwisha Dar. Tuige nchi zingine basi, ingawa Madiwani na mameya wote waliopo ni mizigo.
Umesahau Bar kubwa kubwa zinahamishiwa wapi?- Eneo la Kariakoo liwe na bidhaa moja tu ya biashara, mfano bidhaa za nguo.
- Maduka ya simu na vifaa vya simu yahamishwe, mfano Pugu.
- Maduka ya vifaa vya ujenzi yote yahamie mfano Tegeta.
- Vipodozi yote yaende mwenge.
- Vifaa vya kilimo Tandika. Posta yoote kusiwe na maduka zaidi ya maofisi na maduka ya nguo tu.
maduka ya furniture yote yaende Keko..
Tukiweza hili misongamano na foleni zitakwisha Dar. Tuige nchi zingine basi, ingawa Madiwani na mameya wote waliopo ni mizigo.
- Eneo la Kariakoo liwe na bidhaa moja tu ya biashara, mfano bidhaa za nguo.
- Maduka ya simu na vifaa vya simu yahamishwe, mfano Pugu.
- Maduka ya vifaa vya ujenzi yote yahamie mfano Tegeta.
- Vipodozi yote yaende mwenge.
- Vifaa vya kilimo Tandika. Posta yoote kusiwe na maduka zaidi ya maofisi na maduka ya nguo tu.
maduka ya furniture yote yaende Keko..
Tukiweza hili misongamano na foleni zitakwisha Dar. Tuige nchi zingine basi, ingawa Madiwani na mameya wote waliopo ni mizigo.
You raise a good point there!Coz kunakuwa hamna foleni inakuwa haina shidaq
..sshivi unataka bidhaa zote zipo kko,bt hyo foleni paka ukaikute kko ni balaa,bado foleni ya kurudi,...hayo muda,na petrol(kwa wenye magari)
huu utaratibu unaoshauri utasaidia vipi kupunguza foleni ya posta-mwenge-tegeta,posta-ubungo-kimara,posta-chang'ombe-g/mboto,magomeni-kigogo-chang'ombe wakati wa asubuhi na jioni??hawa nao wanaenda kariakoo/posta madukani??au umekusudia kupunguza foleni kariakoo tu.
Kaka;
Wengine tulishapiga kelele hadi tukachoka. Mpaka wakubwa wanaohusika tuliwaona na maoni yetu tuliwapa, lakini "sikio la kufa halisikii dawa". You may get a modern complete solution package kwa kupitia hapa: Traffic congestion - Wikipedia, the free encyclopedia
Dawa ni moja tu serikari wahamie Dodoma Hakika msongamano utakwisha
ndugu wazo si baya, linalenga kutatua, lakini swala nalo liona mimi ni kuhusu mfumo wa nchi una katisha tamaa , siwezi miaka yote ni kauza simu naweza badili biashara sasa serikali itanihamisha na kama ujuavyo itakuwa mbinde na umaskini ndipo utakapoanza, mimi sasa hivi ndani ya miaka 7, nimebadili biashara za aina 5 kazi yangu ni kuangalia fursa iko wapi . nafikiri maofisi ya serikali yahame kwanza yaende dodoma nalo hilo litapunguza msongamano .
Hili siyo suluhisho 100%, kwa sababu miundo mbinu ya barabara iliyopo Keko,Tandika,Pugu etc bado ni finyu kuweza ku-accomodate pilika za biashara ulizotaja,suluhisho la uhakika ni uwepo wa barabara za kisasa na serikali kufungua maeneo ya biashara mchanganyiko(siyo aina moja kama unavyoshauri) kwenye njia kuu zinazoingia Dar kutokea mikoani,ili wajipatie huduma zote muhimu huko huko pembezoni,
Hiyo haiwezekani, tena itasababisha usumbufu wa hali ya juu. Mtu anunue vipodozi mwenge, aende kkoo kuchukua nguo. hyo ndo maanake nn? usumbufu. dawa ya msongamano ni kupanua barabara na kuwa na feeder roads.
Pia huduma nyingi za kijamii zianzishwe pembezoni mwa hzi manispaa mbili ili kupunguza idadi ya watu kuja katikati ya mji bila sababu za msingi
Jiulize hili
mbona jumamosi wafanyakazi hawaendi makazini
lakini foleni mara mbili zaidi?
jibu very simple
waajiriwa wa serikali jiji hili hata asilimia kumi hawafiki
wengi ni biashara ,na biashara center ni Kariakoo...
ukii fix Kariakoo ume fix jiji hili