Dawa ya kuondoa chelewa (hangover)

nimecheka sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Zinaitwa nyama za mtumba.
 
Ukiwa hujatupia masanga huwezi kuzila hizo. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukiwa hujatupia masanga huwezi kuzila hizo. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli kabisa mkuu, mtu anafika nyumbani akiwa chakari anamkabidhi mke wake Formula1 karibia nane hao ni ng'ombe wawili kumbuka! Unaskia 'anza kuwachemsha sasa hivi asubuhi wawe tayari ntawala kwa chumvi usinipikie chai wewe mwanamke!'
 
hv yana upishi eh
Kuni canter nzima, sufuria ama nyungu ilochakaa, jaza maji kwenye sufuria. Tupa Formula1 kwa moto hadi ziungue toa manyoya kwa kisu. Yatie kwenye maji ndani ya sufuria. Washa moto, yaache yachemke kwa masaa kama matano. Yaani ni kama vile unachinja mnyama upya. Dah binadamu tunakula kila kitu!
 
Kweli kabisa mkuu, mtu anafika nyumbani akiwa chakari anamkabidhi mke wake Formula1 karibia nane hao ni ng'ombe wawili kumbuka! Unaskia 'anza kuwachemsha sasa hivi asubuhi wawe tayari ntawala kwa chumvi usinipikie chai wewe mwanamke!'
Hahaha, formula one
 
Hahahahaha.......eti formula1!
 
hyo ya kutupia kwa moto ni niia za zaman wenzako wanaya toa kwa maji moto kitu cheupeee !nimeyapika sana enzi za usichana nyumban baba alikua anayapendaa!unaweka kwenye maji moto not kuchoma tena
 
hyo ya kutupia kwa moto ni niia za zaman wenzako wanaya toa kwa maji moto kitu cheupeee !nimeyapika sana enzi za usichana nyumban baba alikua anayapendaa!unaweka kwenye maji moto not kuchoma tena
Sawa, dah yaani sijui kitu. Ulikuwa unajitia hamnazo kumbe we ndo fundi mwenyewe? Ujue Mungu anakuona tu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…