Dawa ya kuondoa chelewa (hangover)

Dawa ya kuondoa chelewa (hangover)

haha mie nimesema sipend kuyala !kupika tena hapa ndo chimbo
Nimekuelewa sana. Lakini naona kidogo umeanza kubadilisha gia angani. Uliyapikaje bila hata kuyaonja au hata kuyala kabisa? Ongeza ya ziada basi ninangoja. 😀
 
dah !comment yangu ya kwanza nilisema ktika supu zilizonishinda hii ndo ya kwanza !kwahyo automatic nilishawah KULA !sijui umeelewa??
 
Nimeelewa sisteh inakuwaga sanasana ni favorite ya walevi. Kuna sehemu Kenya hadi vichwa na Formula1 za Nguruwe wanazifanyia haki. Hadi na utumbo wa nguruwe wanakaanga kwa mafuta yake. Dah.
 
argggghhh
 
Wengine wanasema yummy! 😀 We unacheza utumbo wa nguruwe unajikaanga kwa mafuta yake kwenye pan moja kubwa ya ajabu hadi unaruka ruka juu kama popcorn hehe.

mkuu tafadhari nakula sasa hv kisije kurud bure
 
Ujue watu hawafaham tuh,hakuna nyama tamu au sehem tam ya mnyama kama kwato,kichwa,..yaan kongoro,kwa ujumla,sabab hzo sehem zna nyama flan hiv kama mpira yaaan,ndomana kwa makabila yetu sis hvo vtu tunakula wanaume tuu tena wale wenye nyadhifa
 
Back
Top Bottom