Dawa ya kuondoa chelewa (hangover)

Dawa ya kuondoa chelewa (hangover)

Kuni canter nzima, sufuria ama nyungu ilochakaa, jaza maji kwenye sufuria. Tupa Formula1 kwa moto hadi ziungue toa manyoya kwa kisu. Yatie kwenye maji ndani ya sufuria. Washa moto, yaache yachemke kwa masaa kama matano. Yaani ni kama vile unachinja mnyama upya. Dah binadamu tunakula kila kitu!
Mkuu unatuvunja mbavu.......
 
fca08156ded0b73952f960fed38c8838.jpg
hii niliipiga pale java juz kat,muruaaaa kabsa
 
hyo ya kutupia kwa moto ni niia za zaman wenzako wanaya toa kwa maji moto kitu cheupeee !nimeyapika sana enzi za usichana nyumban baba alikua anayapendaa!unaweka kwenye maji moto not kuchoma tena
Sasa hapo si yanaanza kuiva kabla ya kutoa hayo manywele!!! Pia msisahau siyo formula 1 tu, kuna mkia pia, taratibu zake ni hizi hizo, mnato kwa kwenda mbele.
 
Wengine wanasema yummy! 😀 We unacheza utumbo wa nguruwe unajikaanga kwa mafuta yake kwenye pan moja kubwa ya ajab hadi vipande vya utumbo vina ruka ruka juu kama popcorn hehe.
Utamu wake vipi?
 
Hyo kichwaa aa mbusi asee,hyo ni cholestrol free asee,mi ndo mpango wangu huo asubuh mara nying,nikipiga hyo na chapat 1 ahhh,siku inaanza vzur kabsa
Asubuhi, huna mzaha wewe, wewe ndo unafaa kuitwa bwana misosi.
 
Hakika kwa sisi watumiaji wa kilevi siyo wageni na kitu kinachoitwa hangover.baada ya kupiga ulabu wa kutosha balaa Ni asubuhi,pesa yako mwenyewe inakutesa Mara kichwa kinauma,Mara no appetite yani Ni shida.mimi huwa natumia supu au Pepsi baridi Sana angalau kupunguza maumivu ya pombe.hakika hangover Ni Kama mwanamke mrembo vile anavyo hitaji matunzo uthithubutu kunywa pombe nyingi Kama huna huakika wa supu!!hebu tujuzane tiba nyingine za hangover!
 
Me nilikua napiga kiroba kimoja kwisha kazi sasa tokea wamevipiga marufuku nakata hangover na glass ya ubanda then naingia site kupiga mzigo

Wema Ni Nusu Ya Ujinga.
 
Me nilikua napiga kiroba kimoja kwisha kazi sasa tokea wamevipiga marufuku nakata hangover na glass ya ubanda then naingia site kupiga mzigo

Wema Ni Nusu Ya Ujinga.
Yani mkuu Mimi nikisema nizimue tu narudii form ile ile
 
mkuu dawa ni kuacha kunywa pombe tuu ,no more hang over
 
Back
Top Bottom