Dawa ya Kulevya: Rumishael Shoo (Rummy) ndani ya mikono 'salama' ya Polisi

Kwani ukweli huwa una muda maalum wa kujulikana? Ndo imejulikana kwa wakati huo wafanyeje?Wasiseme kwa sababu kuna Vita ya unga? Acha maneno sisi hatutaki watu wasio wa kweli kwenye elimu?Maana hatujui atakuwa mwongo kwenye mangapi maana hata jina lake yasemekana la uongo.vyeti jaman vyeti ukweli utuweke huru.

Ukweli gani ukuweke huru kukinufaisha mwaishani mwako? Kama hayaendi tafuta mengine, jiangalie usonge mbele acha wivu, tamaa na uvivu.
 
Hatutaki maneno mengi mwambie aweke vyeti mezani. Hatutaki vilaza hata mkuu aliridhia wale wanafunzi wa UDOM wafukuzwe. Hatutaki double standard vita ya madawa sawa lakini vyeti mezani.

Nimeshakujibu, unaumia na kushindia kuni quote hahahahahhaaaaaaa


Makonda oyeeeeee
 
Makonda anafadhiriwa na nani??
Unaambiwa huyu Bwn kajenga hadi kituo cha polisi.
Huyo Makonda ana magari ya gharama kubwa, maghorofa, sasa mfadhiri ni nani??

Kafanye kazi na biashara nawe uvipate, usisahau kuoa au kuolewa pia mjijenge pamoja. Acha wivu, uvivu na tamaa.
 
Eti jukumu alilopewa na Makonda. Jukumu kapewa na Rais. Unasema kamishina kateuliwa na Makonda?
Ujinga wa hali ya PhD

Andika utakalo utajiji, unataka niandike kila kitu mimi inanilipa nini utakaposoma. Elewa unavyotaka wewe au pisha njia na hiyo PHD unayoisikia na hujui hata mengi.
 
Tumia akili wewe Huyo jamaa yenu anayetumia vyeti vya watu hakuna cha maana alichofanya.

Alikuwa analeta maigizo na kutafuta sifa za kijinga.

Wauza madawa hawatafutwi kwa kuwataja majina kwenye vyombo vya habari.

Tumia akili.

Akili niitumie ili iweje?

Kaa na wivu, uvivu na tamaa zako binafsi. Heshimu kiongozi wako binadamu wewe.
 
Back
Top Bottom