kunywa maji wewe
kuna watu kunywa kwao maji ni bahati mbaya...
sio lazima ukikojoa iwe mkojo pia!labda ni aina ya mkojo.....kwani kuna aina ngapi za mikojo...?
Situmii pompe ya aina yoyote wana jf na ninatumia maji ya kutosha mpaka kero ila baada ya muda mfupi hali inajirudia. Asanteni kwa ushauri wenu
kunywa maji wewe
kuna watu kunywa kwao maji ni bahati mbaya...
Situmii pompe ya aina yoyote wana jf na ninatumia maji ya kutosha mpaka kero ila baada ya muda mfupi hali inajirudia. Asanteni kwa ushauri wenu
Ina wezekana we ni mshabiki damu wa Yanga au CCM.
Anyways, kunywa maji kutwa mara 12, jumla lita 3 kwa kwa siku.