Dawa ya kukamata mwizi

Dawa ya kukamata mwizi

Solarpanel

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2012
Posts
235
Reaction score
38
Kwa masikitiko makubwa naomba mwenye kujua dawa ya kukamata mwizi aniambie,maana hakika kilichonitokea nadhani sitakisahau,nilizoea shule za bweni wanafunzi walizoea kuibiana ila sikuwahi kufikiria nitakuja kukutana na hiko kitu mpaka maofisini kipo.tena kwenye taasisi ya fedha,mfanyakazi mwenzangu ambae sijaweza kumbaini mpaka sasa amediriki kuniibia kiasi kikubwa cha pesa ambacho hata sio mshahara wangu na nalazimika kukilipa.hakika nimechanganyikiwa na siamini,tafadhali naombeni ushauri na njia ya kumkamata
 
Nasikia ipo hiyo dawa endelea tu kuiliza...nasikia atairudisha mwenyewe au atakua anajiumbua mwenyewe
 
Hakuna dawa ya kukamata mwizi ila kuna dawa yakumpa mwizi (mpaka akamatwe)
 
Kwa masikitiko makubwa naomba mwenye kujua dawa ya kukamata mwizi aniambie,maana hakika kilichonitokea nadhani sitakisahau,nilizoea shule za bweni wanafunzi walizoea kuibiana ila sikuwahi kufikiria nitakuja kukutana na hiko kitu mpaka maofisini kipo.tena kwenye taasisi ya fedha,mfanyakazi mwenzangu ambae sijaweza kumbaini mpaka sasa amediriki kuniibia kiasi kikubwa cha pesa ambacho hata sio mshahara wangu na nalazimika kukilipa.hakika nimechanganyikiwa na siamini,tafadhali naombeni ushauri na njia ya kumkamata

Teller nini?umepigwa counting table?
 
pole sana ila next time utumie akili na umakini zaid kwenye pesa ...watoto wataka wakapate elimu bora umeme upo juu bidhaa usiseme...TRA wametoa mimaco ... MMEGAWANA UMASKINI USIJALI dawa yake sasa ukiona mtu kakaa vibaya nawewe pitia tu..ila ukikamatwa shaur yako .dawa zaid ya hiyo nikumshtakia mungu muweza
 
Kwa masikitiko makubwa naomba mwenye kujua dawa ya kukamata mwizi aniambie,maana hakika kilichonitokea nadhani sitakisahau,nilizoea shule za bweni wanafunzi walizoea kuibiana ila sikuwahi kufikiria nitakuja kukutana na hiko kitu mpaka maofisini kipo.tena kwenye taasisi ya fedha,mfanyakazi mwenzangu ambae sijaweza kumbaini mpaka sasa amediriki kuniibia kiasi kikubwa cha pesa ambacho hata sio mshahara wangu na nalazimika kukilipa.hakika nimechanganyikiwa na siamini,tafadhali naombeni ushauri na njia ya kumkamata

Kuna jamaa yangu yeye alikuwa anapotelewa kalamu mezani kwake ofisini, kila akiacha kalamu mezani baada ya muda inapotea, zaidi ya mara nne au tano. Actually mwanzoni alidhani kuwa labda huwa anazimisplace, klakini gaadaye akaja akaweka mtego ili ahakikishe kuwa anazimissplace kweli au zinaibiwa, lakini hatimaye alikuja kugundua kuwa kila akizitumia baada ya muda zinaibiwa. Baadaye akaja akagundua kumbe yalikuwa mambo yetu yale ya kiroho ambayo sasa hivi almost tunashikilia nmaba barani Afrika. Kufanya uchunguzi pia ili kujua kwa nini huyo mtu kaiba hizo mbesa nu muhimu sana pia!
 
Kwa masikitiko makubwa naomba mwenye kujua dawa ya kukamata mwizi aniambie,maana hakika kilichonitokea nadhani sitakisahau,nilizoea shule za bweni wanafunzi walizoea kuibiana ila sikuwahi kufikiria nitakuja kukutana na hiko kitu mpaka maofisini kipo.tena kwenye taasisi ya fedha,mfanyakazi mwenzangu ambae sijaweza kumbaini mpaka sasa amediriki kuniibia kiasi kikubwa cha pesa ambacho hata sio mshahara wangu na nalazimika kukilipa.hakika nimechanganyikiwa na siamini,tafadhali naombeni ushauri na njia ya kumkamata

pole kaka, omba ushauri kwa MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Kwa masikitiko makubwa
naomba mwenye kujua dawa ya kukamata mwizi aniambie,maana hakika
kilichonitokea nadhani sitakisahau,nilizoea shule za bweni wanafunzi
walizoea kuibiana ila sikuwahi kufikiria nitakuja kukutana na hiko kitu
mpaka maofisini kipo.tena kwenye taasisi ya fedha,mfanyakazi mwenzangu
ambae sijaweza kumbaini mpaka sasa amediriki kuniibia kiasi kikubwa cha
pesa ambacho hata sio mshahara wangu na nalazimika kukilipa.hakika
nimechanganyikiwa na siamini,tafadhali naombeni ushauri na njia ya
kumkamata

mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe
 
Kwa masikitiko makubwa naomba mwenye kujua dawa ya kukamata mwizi aniambie,maana hakika kilichonitokea nadhani sitakisahau,nilizoea shule za bweni wanafunzi walizoea kuibiana ila sikuwahi kufikiria nitakuja kukutana na hiko kitu mpaka maofisini kipo.tena kwenye taasisi ya fedha,mfanyakazi mwenzangu ambae sijaweza kumbaini mpaka sasa amediriki kuniibia kiasi kikubwa cha pesa ambacho hata sio mshahara wangu na nalazimika kukilipa.hakika nimechanganyikiwa na siamini,tafadhali naombeni ushauri na njia ya kumkamata
Pole sana nenda kwenye hoteli za Wachina kanunuwe nyama ya chura iliyopikwa vizuri kisha tia ndani ya mkate nenda nayo kazini wape unao watuhumu wale huo mkate aliyeiba atasema yeye mwenyewe pasipo na kumwambia wewe ndio uliyoiba. Au kama utashindwa wasiliana na mimi kwa njia ya Email yangu hii hapa Fewgoodman@hotmail.com utanitajia watu wote unao fanya kazi nao kwa majina yao kamili na jina lako mimi nitakwambia nani aliyekuibia ila itabidi unilipe pesa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom