Lee Swagger
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 1,070
- 1,816
- Thread starter
- #21
Wanasayansi wako kwenye juhudi za dawa ya kufuta kumbu kumbu mbaya kichwani.Hii nzuri sana, kuna watu na vitu nimefanya juhudi kuvisahau ila wapi.

HatareMchina siyo mtu mzuri... [emoji23]